Kenyatta anaposimama na Odinga, CHADEMA mnayo ya kujifunza

Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ulisema hivyo hapo juu....

Ndio maana nikasema umepotoka.
 
Kwa sababu u mpumbavu hujathibitisha ni nani na wapi alipobagua yeyote zaidi ya bangi zako tu
 
Chadema hawawezi kumfukuza Yericko Nyerere kwa sasa na watu wa aina yake kwani wanawakilisha Watanzania walio wengi.
 
Maneno "au hata" yana maana yoyote kwako?

Zingatia huu si uzi wa mwanzo kuwahusu manguli wenye mafunzo kwetu ambako kuna wana harakati ambao haki ni msamiati usiokuwa na maana yoyote kwao:

Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga
Kwenye sheria ya maana/tafsiri, iwapo utataja kitu, basi HAKIHESABIWI TENA kama hakijatajwa.
(Mentioning removes generalization).
 
Kwa sababu u mpumbavu hujathibitisha ni nani na wapi alipobagua yeyote zaidi ya bangi zako tu

Kwamba mwenye akili ni wewe kina Odinga, uhuru na wakenya wanaosimama imara kupigania gaki zao ni wapumbavu siyo?

Kwamba mwenye akili huyo ni hohe hahe kiazi mbatambata wewe usiyetokea kwenye shughuli yoyote yenye kuuhitaji uwepo wako kuchangia kwenye kuishenesha nguvu ya wenye nchi kudai haki zao?

Kukutaarifu tu CDM wanayo heshima kubwa kwa harakati chanya hizi za Kenya zisizo na shaka zenye kuithibitisha nguvu ilivyotamalaki ya wenye nchi nchini mwao.

Kwa maelezo haya haipo shaka kuwa wewe siyo pumbafu tu, bali ni baba lao!
 
Chadema hawawezi kumfukuza Yericko Nyerere kwa sasa na watu wa aina yake kwani wanawakilisha Watanzania walio wengi.

Kwani Nyerere yupi aSiyekuwa mwuumini kindaki ndaki wa haki unaye mwongelea au uliyewekeza matumaini yako kwake ndugu?

Ndiyo maana endeleeni kusubiria katiba mpya kwa hisani ya kina Joni na mambuzi ya pale Lumumba.

Nchi hii itakombolewa na wenye moyo wenye kuamini wanacho kipigania si viazi mbatata wasiojitambua kama ninyi.
 
Kwenye sheria ya maana/tafsiri, iwapo utataja kitu, basi HAKIHESABIWI TENA kama hakijatajwa.
(Mentioning removes generalization).

Kwa vile kiswahili ni shida ikikupendeza weka lugha yako ya kwanza upewe tafsiri kwa lugha yako ya mama.

"Semantic(s) is a study. It is never obvious to everybody!"
 
Unaoenda sana bangi siyo? Kwamba jani hilo ni kipenzi chako usidhani ndivyo ilivyo kwa kila mtu ndugu mambuzi.
Never argue with a fool
He'll pull you down to his level
And beat you with experience.
And it seems you are experienced fool. Bye
 
Punguza upumbavu, nimekuuliza ni nani na wapi yeyote kati ya uliowatuhumu kuwa wanawabagua makundi uliyoyataja?

Maelezo ya kilevi yasiyo na uhusiano na swali.

CHADEMA siyo wanaharakati level hiyo wameishapita, na kama ingekuwa na viongozi wapumbavu kama wewe ingekimbiwa
 

Wewe ni pumbafu zezeta mbambamba dunia kuwahi kushuhudia!

K Chadema inaziheshimu harakati za kupigania haki kote duniani zinazozaa matunda kupitia nguvu ya umma isipokuwa wewe na bado hujishangai.

Kaza uzi hapo kudhania kwa kuwa wewe bIla hata CV ni bora kuliko walioko kwenye list hii:

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Bure kabisa!
 
Pumbavu, ni nani na wapi yeyote kati ya hawa uliowasema wamevunja haki za watu?

Usiponitajia watu na matukio basi wewe pumbavu
 
Pumbavu, ni nani na wapi yeyote kati ya hawa uliowasema wamevunja haki za watu?

Usiponitajia watu na matukio basi wewe pumbavu

Upumbavu mbatata ni kuandika bila kueleweka unasema nini. Ya kwamba unaandika kiyahudi na unategemea watu wote kukuelewa?

1. Hawa niliowasema - kina nani?

2. Hao niliowasema - nimewasema wapi?

Kama nakuona ulivyopendeza kwenye jezi ya kijani.



Salimia Lumumba huko.
 
Kujifunza kushindwa ni tatizo, nionavyo mie chadema walishajifunza baada ya kuungana na Lowasa na Sumaye huko nyuma. Uhuru akiwa Madarakani aliungana na Raila, Ruto akawashinda vibaya sana pamoja na kwamba Kenyata alikua Rais, leo hii Kenyata hayuko Madarakani nadhani hata akiungana na Raila tena, akamuongeza kalonzo,Matha, Wajakoya, E.Wamalwa, G.Moi,Mukhisa kitui, M.Wairia, C.Ngilu ongeza wanasiasa unaowafahamu Kenya, 2027 Ruto atashinda kwa kishindo na hawatafanya kitu.
 
Wewe
Kweli jibwa, hukuwatag baadhi ya watu kuwa hawataki haki na ukataja baadhi ya makundi kuwa yanabaguliwa wakiwepo wanaopractice mapenzi ya jinsia moja?

Uhuru umezidi kuwekwa jukwaa moja na wapumbavu
 
Chadema walikuibia mkeo?? Si kwa hasira hizi na chama hiki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ