johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ruto hana undugu na Moi zaidi ya kumlea kisiasa.Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile
Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo
Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana
Mungu wa mbinguni akubariki sana
bwashee mbona umeumia sana uchaguzi wa kenya kwenda vzr kwa amani???Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile.
Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo.
Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana.
Mungu wa mbinguni akubariki sana.
KumbeRuto hana undugu na Moi zaidi ya kumlea kisiasa.
Upunguze kiherehereKumbe
Hahaha......tulishuhudia amani Bomas!bwashee mbona umeumia sana uchaguzi wa kenya kwenda vzr kwa amani???
Hahaha..... kumbe!Upunguze kiherehere
Moi?Kwani anayechagua ni Magufuli au Wananchi? Alafu Moi sio ndugu na huyu Ruto
1. Ali H. MwinyiHaiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile.
Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo.
Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana.
Mungu wa mbinguni akubariki sana.
Alaa!! Kwahiyo ulipoandika "Arap" ulikuwa ukimaanisha nini/nani we ngedere wa lumumba?!Moi?
Wajaluo wameumia sanau
Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia1. Ali H. Mwinyi
2. Husein Mwinyi
3. Jakaya Kikwete
4. Ridhwan Kikwete
5. Kinana namsikia toka nipo primary
6. Makamba Jr
7. Makamba Sr
8. Nnauye Sr
9. Nnauye Jr
10. List ni ndefu sana
"Toa kwanza boriti kwenye jicho lako.."
LUka 6:41-45
Hahaha.......!Alaa!! Kwahiyo ulipoandika "Arap" ulikuwa ukimaanisha nini/nani we ngedere wa lumumba?!
Umeharibu ulipoingiza jina Magufuli. Magufuli alikuwa mbaya kuliko hizo Koo za akina Kenyatta, Arap na Odinga.Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile.
Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo.
Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana.
Mungu wa mbinguni akubariki sana.
Wewe nawe n taahira tu! Kwenye kila kitu lazima uongee ujinga!Umeharibu ulipoingiza jina Magufuli. Magufuli alikuwa mbaya kuliko hizo Koo za akina Kenyatta, Arap na Odinga.
Magufuli alikuwa anatutengenezea kitu kama cha Museveni au Kagame kwa namna alivyo iba uchaguzi wa S/Mitaa 2019 na Uvhaguzi Mkuu wa 2020. Bunge hili lenye CCM 99% na COVID-19 ndilo aliliandaa kubadili Katiba na kumfanya kiongozi wa maisha.
Ila Mungu wetu mwenye nguvu aliingilia kati pale 17/ 03/ 21 na kumeleka jehanam.