Kenyatta, Arap, Kibaki, Kenyatta, Arap - huu ukiritimba wa Uongozi ndio hayati Magufuli alipambana kuufuta!

Kenyatta, Arap, Kibaki, Kenyatta, Arap - huu ukiritimba wa Uongozi ndio hayati Magufuli alipambana kuufuta!

Nafikiri hiyo 'arap' ni kama 'ole' inavyotumika na wamasai labda ulimaanisha kabila au jamii ya watu fulani hawatakiwi kutoa rais zaidi ya mara moja. Tukinukuu maneno ya Baba wa taifa alisema rais anaweza kutokea mfululizo kwenye eneo, kabila, ukoo, dini fulani nk. ili mradi ana vigezo vyote vinavyokubalika kwa nafasi hiyo.​
 
Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile.

Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo.

Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana.

Mungu wa mbinguni akubariki sana.
bwashee mbona umeumia sana uchaguzi wa kenya kwenda vzr kwa amani???
 
Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile.

Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo.

Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana.

Mungu wa mbinguni akubariki sana.
1. Ali H. Mwinyi
2. Husein Mwinyi
3. Jakaya Kikwete
4. Ridhwan Kikwete
5. Kinana namsikia toka nipo primary
6. Makamba Jr
7. Makamba Sr
8. Nnauye Sr
9. Nnauye Jr
10. List ni ndefu sana

"Toa kwanza boriti kwenye jicho lako.."
LUka 6:41-45
 
Wajaluo wameumia sanau

1. Ali H. Mwinyi
2. Husein Mwinyi
3. Jakaya Kikwete
4. Ridhwan Kikwete
5. Kinana namsikia toka nipo primary
6. Makamba Jr
7. Makamba Sr
8. Nnauye Sr
9. Nnauye Jr
10. List ni ndefu sana

"Toa kwanza boriti kwenye jicho lako.."
LUka 6:41-45
Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia

Karibu tena

Au Kifipafipa;
Mtei, Makani, Mbowe
 
Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile.

Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo.

Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana.

Mungu wa mbinguni akubariki sana.
Umeharibu ulipoingiza jina Magufuli. Magufuli alikuwa mbaya kuliko hizo Koo za akina Kenyatta, Arap na Odinga.

Magufuli alikuwa anatutengenezea kitu kama cha Museveni au Kagame kwa namna alivyo iba uchaguzi wa S/Mitaa 2019 na Uvhaguzi Mkuu wa 2020. Bunge hili lenye CCM 99% na COVID-19 ndilo aliliandaa kubadili Katiba na kumfanya kiongozi wa maisha.

Ila Mungu wetu mwenye nguvu aliingilia kati pale 17/ 03/ 21 na kumeleka jehanam.
 
Uhuru na Raila walitaka system wakasema wana nguvu na wanakila kitu, ila kuna kijana dhaifu wa kanisa aliyetoka katika familia isiyo na viongozi akabadilisha mwelekeo wa upepo.
Hii naifananisha km kipindi kile cha Magufuli ,
Natarajia nione makubwa kutoka kwa Ruto , akichomoa mirija yote iliyowekwa na akitengeneza Kenya isiyo ya kifisadi

Naiona Kenya katika nafasi za juu katika uchumi
 
Umeharibu ulipoingiza jina Magufuli. Magufuli alikuwa mbaya kuliko hizo Koo za akina Kenyatta, Arap na Odinga.

Magufuli alikuwa anatutengenezea kitu kama cha Museveni au Kagame kwa namna alivyo iba uchaguzi wa S/Mitaa 2019 na Uvhaguzi Mkuu wa 2020. Bunge hili lenye CCM 99% na COVID-19 ndilo aliliandaa kubadili Katiba na kumfanya kiongozi wa maisha.

Ila Mungu wetu mwenye nguvu aliingilia kati pale 17/ 03/ 21 na kumeleka jehanam.
Wewe nawe n taahira tu! Kwenye kila kitu lazima uongee ujinga!
 
Back
Top Bottom