hapa kuna waandamanaji wana Stoo kontena za mayai viza wanafuatilia uonevu wote tokea hapo Tanzania akialikwa kiongozi yeyote lazima watamrushia mengiKiingereza chenyewe cha kuunga na SOLOTEPU nani akuarike....
Msomi wetu Kabudi Prof. akiwa anaongea kiingereza anatoa macho huku anatema mate ndoo kadhaa, sasa Hangaya ataweza?
Nin ukijuacho kuhusu huyo mtuKutokea gerezani anakoshikiliwa mbowe
Bila kuwachia mbowe na wenzake hakuna mtu ataona hotuba nzuriTukaambiwa hotuba yake ilikuwa kwenye top 7.
Hiiiiii bagosha 😂😂!
Uonevu wenu kumbambikia kesiNin ukijuacho kuhusu huyo mtu
Na hawakujua kuwa Siri za mahita kingai kuwapoza Moses na Lt Urio zingevuja, sasa uonevu wao umesambaa Duniani kote wanajutiaWalio shauri Mh Mbowe pewa KESI ya UGAIDI ,laana iwe juu yao ,ukoo wao ,na familia zao , walizani wanaikomoa CHADEMA,kumbe wanalikomoa Taifa,leo tz imekua kituko Mbele ya macho ya Dunia, YESU njoooooo, na tafuna watu hao
Na hawakujua kuwa Siri za mahita kingai kuwapoza Moses na Lt Urio zingevuja, sasa uonevu wao umesambaa Duniani kote wanajutia
Kenya kiuchumi ipo juu sana licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda na za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kudhoofisha chadema, Serikali ya CCM haitaki usitawi wa upinzaniHoja ya kitumwa Sana hii.Badala uzungumzie kwa nini Parachichi yetu haiingi moja kwa moja kwenye big markets Kama China hadi tupitie kwa jirani au Thailand kwa kutokua ba bilateral agreement we unazunyumzia kualikwa white house.Tuzungumze white house kiuchumi sio Kama sifa.
Akina nani, au kila ajuae upungufu wa bongo zenu ni mtesiUonevu wenu kumbambikia kesi
Kiongozi bora haalikwi white house wew
Ha ha hatari mkuuhapa kuna waandamanaji wana Stoo kontena za mayai viza wanafuatilia uonevu wote tokea hapo Tanzania akialikwa kiongozi yeyote lazima watamrushia mengi
Wao hualika MAZUZU yawezayo ku respond +vely kwa issue zaoHivi eh?
hapa kuna waandamanaji wana Stoo kontena za mayai viza wanafuatilia uonevu wote tokea hapo Tanzania akialikwa kiongozi yeyote lazima watamrushia mengi
Wao hualika MAZUZU yawezayo ku respond +vely kwa issue zao
Ngoja machokoraa wa UVCCM waje kuvamia huu Uzi, Marekani na madikteta wapi na wapi? Marekani inajua fika kinachoendelea Tanzania,ndo maana Rais Biden aligoma kupiga picha na SamiaWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Ngoja machokoraa wa UVCCM waje kuvamia huu Uzi, Marekani na madikteta wapi na wapi? Marekani inajua fika kinachoendelea Tanzania,ndo maana Rais Biden aligoma kupiga picha na Samia
Akili za Bavicha ni shida tupu, muda wote kuwaza vitu shallow na ujinga ujinga!! Sasa WH waalike marais wote duniani huyo Biden atapata wapi muda wa kulitumikia taifa lake? Kila week yeye si atakuwa busy kupokea marais tu? And aliyekuambia kuwa Rais mwanamke ni deal la kidemokrasia ni nani? Grow Up...
[/QUOTE]Kwani ni mawazo ya Kimaskini, kitajiri au kishujaa?
Kwani wawakilishi wao waliokuwa wanapiga ripoti pale law school mliweza kuwahadaa?
Au mnadhani hawa waliwaona kwao ni wajamaika?
View attachment 1975049
Au mnadhani Mosses Lijenje hawajamsikia?
View attachment 1975045
Kuuwa watu kinyama siyo roho za kitajiri bali za kihayawani tu!
Kuwabambikia kesi wapinzani ni utumwa wa AkiliUmemwambia vizuri sana!! Kuna watu wana mawazo ya kitumwa sana!!
Wewe hujui chochote kwani kazi ya upinzani ni kuifagilia CCM kwa ujinga wake? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya CCM kwa mapungufu yake yote bila kubagua chochote, kama hujui wapinzani wamesimamia wapi Tambua kuwa wapinzani wamesimamia kwenye Katiba, Tume huru ya uchaguzi na mapungufu yote ya utawala wenu wa uonevu kwa wapinzaniShida yenu nyinyi hamjui mnachokihitaji mpaka sasa, yaani kiufupi ni hamna ajenda mnayosimamia. Nongwa ndo zimezidi, mim nina uhakika mama angealikwa huko white house ndo mngetukana mpaka matusi yote mngemaliza; mngesema ameende kuuza nchi tayari. Yaani hamueleweki mnasimamia lipi.