Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Kiingereza chenyewe cha kuunga na SOLOTEPU nani akuarike....

Msomi wetu Kabudi Prof. akiwa anaongea kiingereza anatoa macho huku anatema mate ndoo kadhaa, sasa Hangaya ataweza?
hapa kuna waandamanaji wana Stoo kontena za mayai viza wanafuatilia uonevu wote tokea hapo Tanzania akialikwa kiongozi yeyote lazima watamrushia mengi
 
Walio shauri Mh Mbowe pewa KESI ya UGAIDI ,laana iwe juu yao ,ukoo wao ,na familia zao , walizani wanaikomoa CHADEMA,kumbe wanalikomoa Taifa,leo tz imekua kituko Mbele ya macho ya Dunia, YESU njoooooo, na tafuna watu hao
Na hawakujua kuwa Siri za mahita kingai kuwapoza Moses na Lt Urio zingevuja, sasa uonevu wao umesambaa Duniani kote wanajutia
 
Na hawakujua kuwa Siri za mahita kingai kuwapoza Moses na Lt Urio zingevuja, sasa uonevu wao umesambaa Duniani kote wanajutia

Ngoja wavune dengu walizopanda
 
Hoja ya kitumwa Sana hii.Badala uzungumzie kwa nini Parachichi yetu haiingi moja kwa moja kwenye big markets Kama China hadi tupitie kwa jirani au Thailand kwa kutokua ba bilateral agreement we unazunyumzia kualikwa white house.Tuzungumze white house kiuchumi sio Kama sifa.
Kenya kiuchumi ipo juu sana licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda na za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kudhoofisha chadema, Serikali ya CCM haitaki usitawi wa upinzani
 
hapa kuna waandamanaji wana Stoo kontena za mayai viza wanafuatilia uonevu wote tokea hapo Tanzania akialikwa kiongozi yeyote lazima watamrushia mengi

Safi sana. Hata kwa zomea zomea tu dunia hata ikielewa kwa uchache inatosha sana.
 
Wao hualika MAZUZU yawezayo ku respond +vely kwa issue zao

Ndiyo Hangaya alivyokwambia?

Alipoonana Guterres kama formality iliyomhusu kila mjumbe UNGA akiwamo hata mtwaleban hiyo ikawa habari kubwa?

Tulipo leo na kina Burundi na Uganda tuchekane kwa lipi?
 
Akili za Bavicha ni shida tupu, muda wote kuwaza vitu shallow na ujinga ujinga!! Sasa WH waalike marais wote duniani huyo Biden atapata wapi muda wa kulitumikia taifa lake? Kila week yeye si atakuwa busy kupokea marais tu? And aliyekuambia kuwa Rais mwanamke ni deal la kidemokrasia ni nani? Grow Up...

Kwa hiyo unampongeza beberu kwa kutomwalika kwa sababu kawapunguzia mzigo?

Kwa kweli 😁😁.
 
Kwani ni mawazo ya Kimaskini, kitajiri au kishujaa?

Kwani wawakilishi wao waliokuwa wanapiga ripoti pale law school mliweza kuwahadaa?

Au mnadhani hawa waliwaona kwao ni wajamaika?

View attachment 1975049

Au mnadhani Mosses Lijenje hawajamsikia?

View attachment 1975045

Kuuwa watu kinyama siyo roho za kitajiri bali za kihayawani tu!
[/QUOTE]
Kuwafunga pingu saa 24 mikono miguu ndiyo utawala bora wa CCM
 
Shida yenu nyinyi hamjui mnachokihitaji mpaka sasa, yaani kiufupi ni hamna ajenda mnayosimamia. Nongwa ndo zimezidi, mim nina uhakika mama angealikwa huko white house ndo mngetukana mpaka matusi yote mngemaliza; mngesema ameende kuuza nchi tayari. Yaani hamueleweki mnasimamia lipi.
Wewe hujui chochote kwani kazi ya upinzani ni kuifagilia CCM kwa ujinga wake? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya CCM kwa mapungufu yake yote bila kubagua chochote, kama hujui wapinzani wamesimamia wapi Tambua kuwa wapinzani wamesimamia kwenye Katiba, Tume huru ya uchaguzi na mapungufu yote ya utawala wenu wa uonevu kwa wapinzani
 
Back
Top Bottom