Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Changamoto sana, namba niliyoiandikisha dawasco ni namba ya kiswaswadu ambacho kinakaa tu nyumbani kwa matumizi ya rmergency, either dada au watoto wanapotaka kuwasiliana na sisi tunapokua kazini, hii imenisaidia kuepuka kero za msg zisizo za lazima kwenye simu yanguWanatuma hata za bili. Bill ikitoka wanakutumia msg hata kumi.