Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
- Thread starter
- #41
Mie mwanzoni walivyofunga maji ndio nilifaidi miezi miwili ya mwanzo.Me nafurahia hizi mita zao za Bei rahisi.... Unaweza chota maji bure siku zote.
Walijiona wajanja hizi mita zitawatia hasara Hadi wafukuzwe kazi woote.
Kenge wa Pakistan Hawa.
Nilitumia almost zaidi ya Unit 30 maana hapa nina bwawa la Samaki na pia nina shamba dogo la mboga mboga. Sasa nilivyoona mita haishtuki, nilijiachia sana....