KERO: DAWASA Acheni kutuma SMS za madeni kwa wingi

Ukienda watakuambia ni utaratibu wa ofisi na wateja wote wanapoke msg, wewe tafuta kiswaswadu weka line halafu nenda kawaambie umebadilisha namba na going foward wawe wanatumia hiyo namba kutuma bills
Kitu nachokiepuka ni kuwa na line nyingi zisizokuwa na sababu za msingi. Ila sawa nimeupokea ushauri nitafanyia kazi.. ingawa DAWASA wajitathmini sana.
 
Pole sana ndugu, dawasa ni sawa na Tanesco na taasisi yoyote ya serikali, na nisawa na sisiemu, ndio maana kale kawimbo ketu pendwa huwa tunasema sisiemu ni ileile
 
Naelewa sana, maana hata haya makampuni ya simu huwa yanatufanyia hivyo, wanatutumia msg zao za promotion kila baada ya dakika kumi

Inakera sana
Bora zile msg za kampuni za maji kuliko hizi ambazo hutuma msg kwa vile tu wanatoa huduma za simu. Hizi "unsolicited msg" zinakera sana na kibaya mteja hana njia za kuzuia zisiingie kwenye simu yake. Hapa TCRA wanapaswa kutusaidia kuondokana na kero hii.
 
TCRA wameshalalamikiwa sana kuhusu hizi msg ila wamefunga masikio
 
Pole sana ndugu, dawasa ni sawa na Tanesco na taasisi yoyote ya serikali, na nisawa na sisiemu, ndio maana kalw kawimbo ketu pendwa huwa tunasema sisiemu ni ileile
Tanesco nishapata mwarubaini nimetandika Solar panel za kutosha ktk rooftop.

Hawa DAWASA nao dawa yao ipo njiani nachimba kisima soon. Maana hapa maji hata hayapo mbali.
 
Ukitaka wasikutumie msg lipa bili on time, dawa ya deni ni kulipa
Ungekuwa na nyumba ungejua kinachoongelewa, mwanzo mwa wiki ijayo watasoma mita kwa bili ya mwezi wa 11, kuanzia wiki ijayo wataanza kutuma bili ya mwezi wa 11 kwa wiki tatu mpaka mwisho wa mwezi wa 11! Kwa kipindi hiki hawawezi kukata maji kwa sababu mwisho wa mwezi bado, hapo ndipo kero inapoanzia.
 
SAHIHI.
Yaan wakishasoma bill hapo hapo wanaaza fujo.. sio kama mtu umekaa na deni lao mwezi umepita. Kitu ambacho ni KERO.
 
Ungekuwa na nyumba ungejua kinachoongelewa, mwanzo mwa wiki ijayo watasoma mita kwa bili ya mwezi wa 11, kuanzia wiki ijayo wataanza kutuma bili ya mwezi wa 11 kwa wiki tatu mpaka mwisho wa mwezi wa 11! Kwa kipindi hiki hawawezi kukata maji kwa sababu mwisho wa mwezi bado, hapo ndipo kero inapoanzia.
NI sawa boss mwenye nyumba zako mjini ila unalalamikia msg za bili za maji

Mimi bili ikija nalipa onthe spot kuepuka hizo msg, wakati mwingine huwa nafanya makadirio ya matumizi yangu kwa mwezi then nalipa pesa hata ya miezi sita, ikifika wakati wa bili napokea tu msg kwamba nimetumia unit ngapi, na imelipwa kiasi gani na balance ya account yangu ni kiasi gani

By the way, nina simu pembeni ya kupokea hizo msg na huwa sitembei nayo

Sio kila mwenye nyumba anaishi kama mwenye nyumba wewe, usikariri maisha, kila mtu ana mfumo wake
 
'kila mtu ana mfumo wake'
Kama ulilijua hili kwanini uliamuru alipe kwa wakati huku bado anazo wiki tatu mwisho wa mwezi kufika, kawaida bili ya mwezi husika hailipwi mwanzo wa mwezi, hulipwa mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom