KERO: DAWASA Acheni kutuma SMS za madeni kwa wingi

Wanatuma hata za bili. Bill ikitoka wanakutumia msg hata kumi.
Changamoto sana, namba niliyoiandikisha dawasco ni namba ya kiswaswadu ambacho kinakaa tu nyumbani kwa matumizi ya rmergency, either dada au watoto wanapotaka kuwasiliana na sisi tunapokua kazini, hii imenisaidia kuepuka kero za msg zisizo za lazima kwenye simu yangu
 
Yaani kwenye kutoa maji wanasua sua ila kwenye kukudai utakoma! Dawasa, Tanesco na NHIF ndizo taasisi za serikali zinazoongoza kwa huduma mbovu. Hata ukilalamika husikilizwi ni siasa tu zimejaa. Hawa wanamuangusha Mheshimiwa Rais
 

Kila dakika ndugu mteja umetumia unit … kutoka unit .. hadi unit … . Hapo wanatuma tano tano. Halafu kesho yake wanaanza mikwara msg hii ni ya onyo[emoji57][emoji57]. Sasa mimi namba yangu nimeiweka kwenye mita mbili tofauti zikianza kuingia hapo ni vurugu tu.
 
Hahahha i can imagine, nunua kasimu kadogo kwa ajili ya dawasco unakua unakaacha nyumbani then unasoma.msg kila jioni
 
Mikocheni siku ya 3 hii amna maji( KERO)
 
Bili utaipata kupitia control number yako ambayo ni permanent...

Unatumia apps kama GePG, mobile banking n.k kujua deni na kulipa...
Sasa kufanya tracking si rahisi.. umetumia unit ngap mpk ngapi
 
pre paid mita ziliishia wapi si walikua wanataka watuletee mita kama za luku unalipia kwanza nsio utumie maji
 
pre paid mita ziliishia wapi si walikua wanataka watuletee mita kama za luku unalipia kwanza nsio utumie maji
Hii Nchi we acha tuu mbwembwe nyingiii utekelezaji sasa 0
 
Maji kama Chai au mchuzi wa Dagaa..

Maji machafu sijui ya mitaroni
Me nafurahia hizi mita zao za Bei rahisi.... Unaweza chota maji bure siku zote.
Walijiona wajanja hizi mita zitawatia hasara Hadi wafukuzwe kazi woote.
Kenge wa Pakistan Hawa.
 
Hapo umewaweza sana. Mie nina namba moja tu ambayo nimesajilia huko huko alafu nyumba mbili tofauti. Nakula SMS za NDUGU MTEJA.. mpk nakoma.
 
Yaani kwenye kutoa maji wanasua sua ila kwenye kukudai utakoma! Dawasa, Tanesco na NHIF ndizo taasisi za serikali zinazoongoza kwa huduma mbovu. Hata ukilalamika husikilizwi ni siasa tu zimejaa. Hawa wanamuangusha Mheshimiwa Rais
Hapo kwenye Swala la kuachia maji ndio kero zaidi. Wiki nzima wanatoa maji siku moja kwa Muda mdogo na maji pressure sio kubwa.

Purity au ubora wa maji machafu mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…