Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
- Thread starter
-
- #41
Mie mwanzoni walivyofunga maji ndio nilifaidi miezi miwili ya mwanzo.Me nafurahia hizi mita zao za Bei rahisi.... Unaweza chota maji bure siku zote.
Walijiona wajanja hizi mita zitawatia hasara Hadi wafukuzwe kazi woote.
Kenge wa Pakistan Hawa.
Unaweza pia kubadilisha namba, unawasiliana nao unawaambia unataka kubadilisha namba inayotumika kutuma bili, hawakatai, hata mimi nilibadilisha, tena walikuja kusoma bili nikawaambia wabadilishe wakasema wakifika ofisini watabadilishaHapo umewaweza sana. Mie nina namba moja tu ambayo nimesajilia huko huko alafu nyumba mbili tofauti. Nakula SMS za NDUGU MTEJA.. mpk nakoma.
Anza na hii ya kawaida.Mie mwanzoni walivyofunga maji ndio nilifaidi miezi miwili ya mwanzo.
Nilitumia almost zaidi ya Unit 30 maana hapa nina bwawa la Samaki na pia nina shamba dogo la mboga mboga. Sasa nilivyoona mita haishtuki, nilijiachia sana....
Soo inanibidi nitafute line nyingine kwa ajir ya hiyo ishu ya kupokea bills tu? Nikipata muda nitaenda ofisini kwao wanieleze vzr huu utaratibu wao wa kutuma mataka taka kila saa.Unaweza pia kubadilisha namba, unawasiliana nao unawaambia unataka kubadilisha namba inayotumika kutuma bili, hawakatai, hata mimi nilibadilisha, tena walikuja kusoma bili nikawaambia wabadilishe wakasema wakifika ofisini watabadilisha
Alaf Mita wanaziuza bei kweli ukisoma Invoice yao ya kufungiwa maji kumbe ni mabovu.Anza na hii ya kawaida.
Lifungue ghafla Hilo limita Kama Fupa Mana linatabia ya kuja na michanga.
Wewe kila ufunguapo likurupue ghafla 0-100 fyuum๐๐.
Kuna mita waliibambikia bill hivy siwez lipa yote nalipa kadri navyotumia, SMS bado zinakuja tu.Ukilipa hutadaiwa
Vilaza sana, sasa hapo ukikurupuka si unamlipia mtu bill yake ya maji.Mimi siku hiyo walituma SMS mpaka nyengine wakachanganya na bill za watu wakaishia kuniomba msamaha,check screenshot hapo chini hawa jamaa ni vilaza waliochangamka!
View attachment 2799898
Daah aisee kama wanadai FigoHahahhaaa, huwajui jamaa wanajiita pesa x wanakopesha hela mtandaoni kwa siku wanatuma sms mia nane kuanzia whatsap ,insta,telegram,kawaida na simu juuu
Wana mikwara dunia haijaona itakua wana asili ya north korea wale pesa x si kwa mikwara ile" ndugu fulani ,hela ya mtu haiendi bure ulikuja kwetu kukopa ukika hohehahe choka mbaya kama mbwa mwizi tukakupa mkopo ukaishia kula mikuku na kugawa mabia ,muda wa kulipa umefika hutumi hela yetu hapa tupo na mwanasheria mtaani kwako tunakuja๐๐๐๐Daah aisee kama wanadai Figo
Nilijua DUWASA ndio wasumbufu kumbe na jamaa zao ni hivyo hivyoKwanza Maji yenyewe mnayatoa kwa mgao (Hamjatangaza tu), huku Tabata hasa Kinyerezi maji mnabangaiza kuyatoa. Mkijiskia ndio mnayaachia hamfati ratiba inayoeleweka.
Nirudi sasa kwenye KERO.
Mnatuma sana SMS zenu kila muda mnatuma hayo madude yenu. Kuweni na weledi basi na mkiwa mnafanya Automation mshirikishe wadau/wateja wawape mawazo yao.
Mnatuma sana hizo SMS zenu za kipuuuzi. Sasa wengine tumeunga nyumba mbili au zaidi kwa namba moja ya simu. Na kila nyumba itumiwe SMS 20 kwa siku hivi tutafika kweli?.
Tengenezeni User portal mteja awe anaingia huko na kuruhusu notifications kama anataka. Na kama hataki ana disable tu. Na malipo yote yanafanyika huko huko kwa kuunganisha API ya DAWASA na hizi API's za Mitandao ya Simu na Banks kama walivyofanya watu wa betting.
Haya maswala ya kutumiana SMS 20 kwa siku tutakuja kuonana wabaya.
Nimemaliza.
Unapewa siku 30 kulipa deni la mwezi husika. Unaletewa bili leo, kesho asubuhi unaandamwa na msg kibao za kukutaka ulipe deni hilo. Na hizo msg hazikomi hadi hapo utakapolipa hilo deni. Kiukweli huu ni usumbufu usio wa lazima. Deni litalipwa ndani ya kipindi kilichowekwa. Program ya kufyatua msg inakera sana tena sana.Ukitaka wasikutumie msg lipa bili on time, dawa ya deni ni kulipa
Naelewa sana, maana hata haya makampuni ya simu huwa yanatufanyia hivyo, wanatutumia msg zao za promotion kila baada ya dakika kumiUnapewa siku 30 kulipa deni la mwezi husika. Unaletewa bili leo, kesho asubuhi unaandamwa na msg kibao za kukutaka ulipe deni hilo. Na hizo msg hazikomi hadi hapo utakapolipa hilo deni. Kiukweli huu ni usumbufu usio wa lazima. Deni litalipwa ndani ya kipindi kilichowekwa. Program ya kufyatua msg inakera sana tena sana.
Ukienda watakuambia ni utaratibu wa ofisi na wateja wote wanapoke msg, wewe tafuta kiswaswadu weka line halafu nenda kawaambie umebadilisha namba na going foward wawe wanatumia hiyo namba kutuma billsSoo inanibidi nitafute line nyingine kwa ajir ya hiyo ishu ya kupokea bills tu? Nikipata muda nitaenda ofisini kwao wanieleze vzr huu utaratibu wao wa kutuma mataka taka kila saa.
Em ngoja niwatafute niwakope.. hawa ndio wazuri wa kunifata na Mwanasheria... hahahWana mikwara dunia haijaona itakua wana asili ya north korea wale pesa x si kwa mikwara ile" ndugu fulani ,hela ya mtu haiendi bure ulikuja kwetu kukopa ukika hohehahe choka mbaya kama mbwa mwizi tukakupa mkopo ukaishia kula mikuku na kugawa mabia ,muda wa kulipa umefika hutumi hela yetu hapa tupo na mwanasheria mtaani kwako tunakuja๐๐๐๐
Wale wale tu hawana afadhari.. taasisi inaendeshwa kizamani mno.Nilijua DUWASA ndio wasumbufu kumbe na jamaa zao ni hivyo hivyo
Wanakera sana.Watu wengi sana wanalalamika kweli kuhusu hii kero.