Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Heee hayaaaa jamani
 
Heee hayaaaa jamani
Jmn mumwache bidada wa watu kalelewa vema.

hataki tabiambayambaya.

kashasema hataki mambo ya kubinuana km kuku wa mtori.

Bila shaka atakuwa mlokole huyu.

Ni wale wanaosali kwanza kabla ya kukutana na baba ktk tendo.

ubarikiwe Bless mom unasali wapi vile?
 
Hasa hasa wanaotoka chini ya ule mlima mrefu kuliko yote afrika,hawatakagi kuwa humped hio staili...wao ni wamishionari orijino!
wengne wanasemaga mibinuko mnayoitaka inawaumiza hasa km filimbi ina masafa
 
kuna umuhimu wa kuoa mke zaidi ya mmoja aisee. uyu akizingua unavuta jiwe jipya unaweka ndani. hauwezi kukutana ujinga kama huu.
🤣naunga mkonyo hoja kwa kicheko cha haja aise......
nadhani ni miongoni mwa masuluhisho muhimu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…