Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Hasa hasa wanaotoka chini ya ule mlima mrefu kuliko yote afrika,hawatakagi kuwa humped hio staili...wao ni wamishionari orijino!
 
Sikupingi, bora umekuja mwanangu cocastic tia nyama somo lieleweke
Yaan French kiss, wabongo wengi hawawezi, wanachojua wao ni kunyweshana mate, kugongana meno km cheers ya glass, mara kuvutana lips, ptyuuuuuh.

Mtu unamueleza tunabadilishana ndimi (ulimi), lenyewe linakazana kufyonza mate, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru wangu nawafundisha na huwa wanaelewa.

French kiss ni tamu km mnaiweza na mna feel same. Woiiiih
 
Mda mwingine ukiandika kuwaelimisha hayo unayoyasema ww hawachelewi kukuletea mambo ya kijey efu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™€Mmbo iko moto
 
NAKAZIA
 
Ushaanza kutudanganya kwaiyo kombe la mate hua huchoti lini linazunguka pale kwa mouth πŸ‘„ kombe linajitengeneza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…