Lamentations
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 285
- 848
Huu ni uongo totally huo ulimi tunaobadilishana ni wa kenge au? Halafu kwani mate tunavyobadilishana ni unayasukuma kwa nje kama unayatema mbona umeiweka kiukatili sana. Watu wapeane mate kwa namna wanavyotaka iwe.Yaan French kiss, wabongo wengi hawawezi, wanachojua wao ni kunyweshana mate, kugongana meno km cheers ya glass, mara kuvutana lips, ptyuuuuuh.
Mtu unamueleza tunabadilishana ndimi (ulimi), lenyewe linakazana kufyonza mate, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru wangu nawafundisha na huwa wanaelewa.
French kiss ni tamu km mnaiweza na mna feel same. Woiiiih