Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Mwambiee
Mwambie bebe, kinywa chako hakipo sawa. Ataenda kukipiga mswaki.. Lol na asugue ulimi, sio anaswaki meno tu ulimi unabaki mweupe peeee kama umemwagiwa dona

Afu Mbona kuna njia rahisi tu ya kufanya ujijue unatoa harufu mdomon au vp…
Njia ipi?

Halafu ukimwambia mtu ananuka mdomo, kama ni mwanamke, ataathirika kisaikilojia, bora utafute namna nyingine tu.
 
Ukweli wa harufu ya mdoma , Watanzania wengi wanakosa package nzuri za kusafisha meno tofauti na wenzetu.

Yaani mswaki tu basi mbona mtu akioga bado anapaka mafuata ,lotion , deodorant na perfume.

Hata kupigwa mswaki bado panahitaji vitu vingine kama mouthwash ,refreshner kibao la sivyo ni patapotea .
Kulala bila kupiga mswaki pia ni janga Tanzania. Mama yangu alitufundisha toka wadogo kupiga mswaki kabla hatujalala
Imekuwa ndio jadi yangu
 
Maviunooo kama feni mbovu,sitaki unikatie maviuno mimi lakini mtu anarudia tu.Tulia kama gogo .Kero yangu ni viuno tu mengine yote freesh.
[emoji23][emoji23][emoji23] hii mpya sasa, midoli ya Elon Musk itakufaa
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Lazima uoge , au uweke bublish mdomoni ili msiuane na harufu au pipi kifua lazima mti anuke ikifikia hivyoo. Mtu ananuka kikwapa haswa kuna watu wananuka kama mbwa kamwagiwa maji mtu ananuka soksi na viatu aisee
 
Back
Top Bottom