Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Yaan French kiss, wabongo wengi hawawezi, wanachojua wao ni kunyweshana mate, kugongana meno km cheers ya glass, mara kuvutana lips, ptyuuuuuh.

Mtu unamueleza tunabadilishana ndimi (ulimi), lenyewe linakazana kufyonza mate, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru wangu nawafundisha na huwa wanaelewa.

French kiss ni tamu km mnaiweza na mna feel same. Woiiiih
Sijui nimtag mtu au bas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya twende kazi

- Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza.

- Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua.

- Mmekubaliana fresh leo 'mtapumzika' pamoja kwa muda fulani. Cha ajabu mkifunga mlango tu kauli imebadilika unaambiwa "fanya chapu nataka nkasuke mwenzio hlf leo si unajua leo tuna kikoba"

- Mrefu kiasi nyuma amebinuka ile kiuchokozi. Mwenyewe unasema, Yes, Hapa full mbuzi kagoma! Laah salaleh, mwenzio hataki mambo hayo anang'ang'ania full kifo cha mende🤣🤣
Siyo unacheck tako na shepu unapagawa,akivua taiti unakuta amekaa kaa kama dereva wa gari la mizigo!? Dadeki. Unamwambia nimesahau hatujapima na ndomu situmiagi
 
Back
Top Bottom