Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulikubali au ulikataa??.Lile mama la kisukuma:
1. Kuweka kuku wanne chini ya Siri
2. Kusafiri na watoto Watatu alafu akaniomba Mimi nimpatate toto lake lenye miaka sita[emoji35]
Nilikataa[emoji23][emoji23][emoji23]Ulikubali au ulikataa??.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nimecheka kama falaNilipanda na mdada mmoja akaagiza mayai ya kuchemsha akala, mahindi ya kuchoma yakapita akanunua akala, koni za bakhresa akala, korosho zikapita akaitisha akala...baadae akaanza kuharibu hali ya hewa. Ninashukuru mungu safari yake iliishia njiani baada ya kubanwa na tumbo la kuhara tukamshusha nzega.
Binti mmoja alitapika kuanzia Mpanda hadi Dar.Ebana Kuna Jamaa hakupiga mswaki alafu story aziishi na maswali yasiyo eleweka.
Vipi wewe Mkuu?
Oyaa bichwa si upande luxury mkuu, mbona una sponsa🤣🤣
Kuna watu wanakula njian ni hatariNilipanda na mdada mmoja akaagiza mayai ya kuchemsha akala, mahindi ya kuchoma yakapita akanunua akala, koni za bakhresa akala, korosho zikapita akaitisha akala...baadae akaanza kuharibu hali ya hewa. Ninashukuru mungu safari yake iliishia njiani baada ya kubanwa na tumbo la kuhara tukamshusha nzega.