Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #221
Hata wao wamechoka mno huoni ule upinzani wao malingalinga haupo tena na wanaonekana kwa kulenga[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mshana akiliz kubwaz. Kuna mambululaz wa ccm hapa na wale wa sizonje na konda watakuja na mapovu. Mimi nchi hii ningepewa sijui hawa vijana ningewafanya nini. Ushabiki kila jambo na sio hoja kama hizi.
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app