FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #121
ni kweli matron, tena ndo ukute na hyo mwenz wako bendera fata upupo.......kila siku mtagombana na mwisho wake kila mtu atachukua chake
Maisha ndivyo yalivyo, sometimes, ilimradi tu mambo yasiende. Lakini kwa wale wanaume wasiokunywa pombe, wanarudi mapema na wanasaidia baadhi ya kazi za nyumbani mambo ni mazuri??? I'm one of them, but I wish ningekuwa mlevi kama wanaume wengine. Ukikaa nyumbani filimbi hazikomi na unapofika huo wakati wa kwenda kulala tayari kuna vi-bif vya kijinga vingi ambavyo ndo vinakuwa cited kama sababu ya kunyimwa uhaus. Hakuna lililo jema kwa mwanamke kwenye mambo kama haya. There is always KISINGIZIO!!!
hee huyu mwanamme ana vituko ..siku za weekend inabidi amsaidie mama watoto kazi ndogondogo .
kazi za home ni nyingi na zinzchosha sana ..pia haziishi ukimaliza hii inaibuka nyingine ..
Huyu jamaa hana huruma hata kidogo
ilinisaidia tena sana sana tu...mbona alijirekebisha mwenyewe!..c mnapendaga attention mkiiosa mnaumwa.
hahahahahah mara naangalia Kina Juan Miguel ..inaisha unaanza Shade of Sin..mala inakuja La Toramento ..lakini si mnaangalia pamoja kuliko kukesha bar..vi serengeti ndani vipo ..na mawazo ya wife mara kibao ni ya kujenga na si kubomoa
Ndiyo hapo wanahamia nyumba ndogo ambapo kila ukizuka tu attention kama kazi. Na hii ndiyo sababu kubwa ya kushamiri nyumba ndogo, nyumbani mama akiuchuna basi kuna mwenzie anayefaidi katika nyumba ndogo na si ajabu akapewa promotion.
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:
Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .
Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:
Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )
Why .......Why........ Why ????
Mnaahamia nyumba ndogo ili kutukomoa ua?
Hv kwani mimi nakosa nyumba kubwa(jibaba la kunihudumia)?
Kv vp ngoma droo.. Hawa wanaume ukiwaendekeza utalia.
Wala usiwe mlevi hata siku moja, kua mchunguzi kwa nini hivo visababu vinakuepo.
Mkeo ni mwanadamu na pia anachoka kama wewe, usifanye hizo kazi kama favor ila ona kama ni jukumu lako kufanya. Mi nachukia sana km mwanamme atafanya kazi za nyumbani huku kila saa anatamka nakusaidia as if wewe tu ndo unatakiwa kufanya hizo kazi wakati wote mmetoka kazn na mmechoka.
Wakati mwingine kampani zinaharibu sana mahusiano
TUTAJIREKEBISHA First Lady usijali
sio kweli!akija ''na la kuja nalo'' humo ndani sijui itakuwa WHOSE BIZNECninachojua mambo yanaenda sawa kwa upande wangu hayo mengine ni non of ma biznec!
Ni kero, inabidi kubadilika. Ila ushauri kwa Mwanamke... Hata akirudi asubuhi, mpokee vizuri, muandalie maji ya kuoga, muulize atakula nini.. akifanya hivyo kwa miezi kadhaa! Ipo siku ATABADILIKA huwezi amini.... Ila kama akirudi amelewa halafu wewe unamKOROMEA.. Walah hawezi acha.. Akina MAMA mna nafasi kubwa sana ya kujenga au kubomoanyumba zenu.
Hivi hapa mlikuwa mna diskasi nini?