Kero katika mahusiano ya ndoa ....

Utalia kidogo!! raha jipe mwenyewe ukisema umngoje akupe utajuta.

Sana sana ni kuleteana magonjwa ya zinaa huko ndani tu.
Du! sijui hawa wanaume watabadilika lini jamani??? Aaagh....
 
bestlady kuna vijamaa vimetoka univasiti of Mlimani pale 3 yrs past ..vyenyewe ni maji ya TBL na kina Eliza ...hivi hao ni frnds wazuri kweli???mambo ya kuharibiana ndoa haya!

Cha kufanya:-
1.
2.
3.
4.
5.
6.

1. tukae wakati wote tukiwa kwenye mood nzuri tuzungumze
2. tupeane majukumu flan flan, sio kwamba shughuli zote za nyumbani ni za kina mama
3.Tukubaliane mda wa kurudi nymbani uwe mapema
4.vinywaji vinywewe nyumbani sio bar
5.kama ni kutoka basi tukoke wote, baba na mama km vp hata na watoto
6. nk nk.........
7. Kinyume cha hapo lazima kieleweke...........................

NAWAKILISHA..........
 

Nyie wanaume kueni makini na muwe na hekima. hamjamuoa mwanamke ili awe mtumwa kwenu ila msaidizi.
hao watoto au nyumba ni vyenu wote, ni jukumu lenu wote kuwalea watoto pamoja. usidhani kutoa hela ya matumizi nyumbani ndio jukumu limeisha, huduma za nymbani ziko nyingi, kama ni kufua, kuwaogesha watoto, kupika, kudeki, ufugaji yote ni kwa ajili ya familia yenu.
 
Originally Posted by Mnene 1
1. tukae wakati wote tukiwa kwenye mood nzuri tuzungumze
No problem! In fact very good.
2. tupeane majukumu flan flan, sio kwamba shughuli zote za nyumbani ni za kina mama
No problem....hii ndo maana ya haswa ya HOLY MATRIMONY.
3.Tukubaliane mda wa kurudi nymbani uwe mapema
Problem inaanza taratibu.
4.vinywaji vinywewe nyumbani sio bar
Big problem. In fact its impossible.
5.kama ni kutoka basi tukoke wote, baba na mama km vp hata na watoto
No problem lakini mara moja moja
6. nk nk......
Hapa kuna nini???
7. Kinyume cha hapo lazima kieleweke...........................
No problem, kitaeleweka tu!

NAWAKILISHA
Naomba kutoa hoja!
 
Ukiona hakai nyumbani, anarudi saa hizo,, Lazima kuna sababu na inawezekana ni mwanamke.. Either asubuhi alimbore au akirudi mapema, kero kwa kwenda mbele. Bora akakae bar, akirudi muda huo, wewe umeshalala no kero no what. Kunakucha, kesho mnaanza upya.. ANGALIENI PANDE ZOTE!
 

Hivi nyie hua hamtu-boi. Mbona mkifanya hivo hua tunawahi kurudi kama kawaida.
Tena nyie ndio mna kero kibao.

Hv siku ukimuuthi mkeo halafu nae akarudi wewe umeshalala utajisikiaje???????

Kumbuka UKIMJALI, KUMHESHIMU NA KUMPENDA MKEO NAE ATAFANYA HIVO HIVO KWAKO PIA
 

wanatuboa sana basi tu tunafanya kuwavumilia
 

Dreamliner ..mbona unajaribu kutetea ..nyie wanaume hamtabiriki hata kidogo.
mnapenda Nyama Choma na Bia za Bar ,mkiangalia wowowo za kina dada😛ound:
 
heheee what matters is amefanya au sio dearest!! whether ni kwa heshima ya wato ama yako.......lakini kafanya!!

kabisa kabisa dearest, ndani ya miaka miwili hajarudia upuuzi wake tena, so don care kama amefanya kwa ajili yangu ama watoto, na hao watoto hata hivyo wapo skul so naweza sema amefanya kwa ajili yangu....hujambo lakini dearest?
 
kwa kweli I have to!!

mamii ngoja niende nikaendelee kutafakuri ugumu wa hii taasisi!!

walio ndani wanatamani kutoka, tulio nje tunatamni kuingia

muingie jamani, nakushauri uingie kwa hali yako asilia, sio dizaini ku pretend, jionyeshe upo wa namna gani kuanzia mwanzo ili partner aweze kukujua fresh kuanzia mwanzo, mie niliingia full kichaa so akajua jinc ya ku deal na kichaa wake, lyfe linasonga.
 
Ndiyo hapo wanahamia nyumba ndogo ambapo kila ukizuka tu attention kama kazi. Na hii ndiyo sababu kubwa ya kushamiri nyumba ndogo, nyumbani mama akiuchuna basi kuna mwenzie anayefaidi katika nyumba ndogo na si ajabu akapewa promotion.


ckilizeni niwaambieni nyie wanaume, mcjidanganye na hizo nyumba ndogo zenu, mnataka kuniambia huko ni tambarare tu hamsuguani?.....attention anapewa pale panapostahili, sio unijie asubuhi utake attention, au unikere kwa namna moja au nyingine utake atention, mabo yaende shwai nyumba nayo inakuwa na amani/raha yake.
 

huko nyumba ndogo c hawawezi kuwambia wamechoka coz wapo kimaslahi zaidi? atakula wapi akikuambia amechoka?...kuchoka kupo, hata nyie huwa mnarudi nyumbani na kusema mmechoka, sasa akisema mkeo kosa.
 
Utafikiria wewe chuma, mimi huwa sielewagi na nasemaga nimechoka sifanyi.......


hapo utaambiwa ndio mana wana nyumba ndogo.....mie cfanyi na wala cfikiriagi eti cjui kutokufanya coz leo nipo hivi na vile bac atakimbilia nyumba ndogo, nyumba ndogo my foot....
 


mie cwaelewi kabisa, kwani nikim bore hizo ndio njia za kutatua tatizo..nyie mkituboa mbona sie tunatafuta njia mbadala ya kuweka mambo sawa?....
 
Hommie hajapita hapa.......................wacha nimwite kwa sauti...........HOMMIEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!:bump2:
 
tatizo kubwa ni kuongozwa na maamuzi ya mwili na nafsi, maana hivi vyote ni rafiki wa dunia,
kwani mtu kwa sehemu kubwa huyatenda ya kuchukiza si kwa kupenda sana mara nyingine, hutokea hata
baadae akajilaumu, kwa wale waliowahi kutoka nje ya mahusiano wanajua hili
unapokuwa faragha na mwenza wako huwa hakuna kujihoji mara baada ya faragha kila na amani tu, lakini ukitoka nje, huwa mara nyingi hutokea maswali mengi, roho inakuhukumu juu ya usaliti uliotenda, kwa sababu si halali kwako

labda tukumbushane kidogo.....hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini nafsi zenu; mtu awaye yote na asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiyana...Malaki 2 : 15 Sheria za Mungu ni nzuri zikituongoza tutakuwa na upendo na familia zetu
 

On many occassions wewe ukikaa akaunta na kuagiza kilaji utakuwa unamsubiri mwenzio au mtu wako wa karibu. Huwezi kutoka nyumbani kwako au kutoka kazini ukaenda/ukapitia "Baracuda/Rufita/Landmark" ukakaa kaunta ukaagiza "tekila" ukapiga na "mchemsho wa kiti moto" halafu ukaondoka mida "mibaya" kwenda nyumbani kwako - haiwezekani - lazima kutakuwa na tatizo ndani ya nyumba yako. BUT. Kwa wanaume hiyo ndiyo "order of the day"!
 

Hii thread ina madhara zaidi ya kujenga. Usirudie tena FL1 kuleta za ivi, ok?
 
Hii thread ina madhara zaidi ya kujenga. Usirudie tena FL1 kuleta za ivi, ok?

Ramos, but this if Jamii Forums where we dare to talk openly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…