Mnene 1
Senior Member
- Jan 14, 2010
- 125
- 11
Utalia kidogo!! raha jipe mwenyewe ukisema umngoje akupe utajuta.
Sana sana ni kuleteana magonjwa ya zinaa huko ndani tu.
Du! sijui hawa wanaume watabadilika lini jamani??? Aaagh....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalia kidogo!! raha jipe mwenyewe ukisema umngoje akupe utajuta.
bestlady kuna vijamaa vimetoka univasiti of Mlimani pale 3 yrs past ..vyenyewe ni maji ya TBL na kina Eliza ...hivi hao ni frnds wazuri kweli???mambo ya kuharibiana ndoa haya!
Cha kufanya:-
1.
2.
3.
4.
5.
6.
Hata mawazo ya nyumba ndogo mara nyingi sana ni kujenga na si kubomoa muulize Da Sophy, ndiyo maana nyumba ndogo zinashamiri sana na pia unajiona kama mfalme hata kwa masaa machache tu ukilinganisha na kurudi nyumbani ambako mke hana muda na wewe kwa kisingizio cha kuchoka na kutaka kuangalia vipindi vyake kila siku ya mungu.
No problem! In fact very good.Originally Posted by Mnene 1
1. tukae wakati wote tukiwa kwenye mood nzuri tuzungumze
No problem....hii ndo maana ya haswa ya HOLY MATRIMONY.2. tupeane majukumu flan flan, sio kwamba shughuli zote za nyumbani ni za kina mama
Problem inaanza taratibu.3.Tukubaliane mda wa kurudi nymbani uwe mapema
Big problem. In fact its impossible.4.vinywaji vinywewe nyumbani sio bar
No problem lakini mara moja moja5.kama ni kutoka basi tukoke wote, baba na mama km vp hata na watoto
Hapa kuna nini???6. nk nk......
No problem, kitaeleweka tu!7. Kinyume cha hapo lazima kieleweke...........................
Naomba kutoa hoja!NAWAKILISHA
Ukiona hakai nyumbani, anarudi saa hizo,, Lazima kuna sababu na inawezekana ni mwanamke.. Either asubuhi alimbore au akirudi mapema, kero kwa kwenda mbele. Bora akakae bar, akirudi muda huo, wewe umeshalala no kero no what. Kunakucha, kesho mnaanza upya.. ANGALIENI PANDE ZOTE!
Hivi nyie hua hamtu-boi. Mbona mkifanya hivo hua tunawahi kurudi kama kawaida.
Tena nyie ndio mna kero kibao.
Hv siku ukimuuthi mkeo halafu nae akarudi wewe umeshalala utajisikiaje???????
Kumbuka UKIMJALI, KUMHESHIMU NA KUMPENDA MKEO NAE ATAFANYA HIVO HIVO KWAKO PIA
Ukiona hakai nyumbani, anarudi saa hizo,, Lazima kuna sababu na inawezekana ni mwanamke.. Either asubuhi alimbore au akirudi mapema, kero kwa kwenda mbele. Bora akakae bar, akirudi muda huo, wewe umeshalala no kero no what. Kunakucha, kesho mnaanza upya.. ANGALIENI PANDE ZOTE!
heheee what matters is amefanya au sio dearest!! whether ni kwa heshima ya wato ama yako.......lakini kafanya!!
kwa kweli I have to!!
mamii ngoja niende nikaendelee kutafakuri ugumu wa hii taasisi!!
walio ndani wanatamani kutoka, tulio nje tunatamni kuingia
Ndiyo hapo wanahamia nyumba ndogo ambapo kila ukizuka tu attention kama kazi. Na hii ndiyo sababu kubwa ya kushamiri nyumba ndogo, nyumbani mama akiuchuna basi kuna mwenzie anayefaidi katika nyumba ndogo na si ajabu akapewa promotion.
Hata mawazo ya nyumba ndogo mara nyingi sana ni kujenga na si kubomoa muulize Da Sophy, ndiyo maana nyumba ndogo zinashamiri sana na pia unajiona kama mfalme hata kwa masaa machache tu ukilinganisha na kurudi nyumbani ambako mke hana muda na wewe kwa kisingizio cha kuchoka na kutaka kuangalia vipindi vyake kila siku ya mungu.
Utafikiria wewe chuma, mimi huwa sielewagi na nasemaga nimechoka sifanyi.......
Ukiona hakai nyumbani, anarudi saa hizo,, Lazima kuna sababu na inawezekana ni mwanamke.. Either asubuhi alimbore au akirudi mapema, kero kwa kwenda mbele. Bora akakae bar, akirudi muda huo, wewe umeshalala no kero no what. Kunakucha, kesho mnaanza upya.. ANGALIENI PANDE ZOTE!
Nikuulize Obuntu ukinikuta nimekaa counter, naorder my drink whether double jack daniels au a shot of tequilla nafurahia maisha, will i be on the loose too? na partner wangu anajua where i am na he doesnt have any problem with that. hebu nifafanulie zaidi maana na mie pia ni muafrika.
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala . Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ... Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha ) Why .......Why........ Why ????
Hii thread ina madhara zaidi ya kujenga. Usirudie tena FL1 kuleta za ivi, ok?