Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Yani hadi nimepata hasira aisee, inakuwaje akubali kizembe kiasi hicho? Kwanini yule aliemzalisha mwanzo wasingemdili kama hivi, huyo mdau ni msengerema tu kaenda kuoa kwa wasengerema pia.
Ni vitu vya ajabu kabisa,

Kutuko kilikua eti anakuja kuomba achangiwe Ela akalipe izo faini za uchafuz.

Kuna jammaa Angu mmoja mchaga alkua keshalewa MDA Ule, alitaka amnase Kofi kijana.
 
Poleni sana, mwanamke akomae na wazazi wake...
 
Utakuka hao wazee wamemwonganishia na faini ya yule mtoto wa miaka 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hasira zote wamemtwika
 
Mjinga ni kijana, lait ningekuwa mim nisingerud kabisa ningewaachia binti yao
Na hicho kiwanja hawez kukumboa hapo basi tena
Inawezekana hata huyo mtoto wa kwanza mwanaume alisepa kwa ya mahali ivo ivo
 
Kijana ana matatizo na sio binti, hajaona mabinti ambao hawajazaa? Imekuwaje ampe mimba kabla hajamweka ndani? Kabla ya kwenda kwa familia ya binti hakumuuliza mwenzake utaratibu wa kwao? Kwani amelazimishwa kuoa hiyo familia na je kijana aliwashirikisha familia yake au aliamua mwenyewe kimjini mjini? KIJANA ALITUMIA AKILI ZA KICHWA KIDOGO
 
Huyo jamaa katekwa akili na huyo mwanamke. Huwez kutoa hela hio kwa mwanamke aliezaa nje tyar.
Hapo anataka kununua gazeti jioni tena kwa bei ya juu
 
Nipe mawasikiano ya huyo jamaa,,, nitamuunganisha na mwanasheria wangu. Hapo mzee baba katapeliwa mchana kweupe.

Ila ni vizuri pia kutujuza kama huyo jamaa amewahi onja mbunye before huyo mwanamke?. Wazazi wa mwanamke wameona weak point so wanatumia as an opportunity...
 
Sikuelewi.
Tatizo huna hela au tatizo ni mahari kubwa?
Inaelekea hujui hata maana ya mahari.
Hivi huo mgawanyo wa mahari umeuangalia? Unadhani utawatajirisha?
Ni ukosefu mkubwa mnoo ulivyomchambua na kumshusha heshma huyo binti.

Hivi unadhani hiyo hela ni gharama ya kumlea huyo binti? Hata sherehe ya ndoa utafanya kweli wewe?

Ndo maana sitaki mahari ya mtu maana roho za kimaskini za hivi zinakasirisha saana.
 
We unatafuta kurogwa wewe na kizazi chako. Zaa ulee ndo utaelewa.
 
We unatafuta kurogwa wewe na kizazi chako. Zaa ulee ndo utaelewa.
Nina watoto wawili,huyu wa kike akija pata bwana mwenye kumpenda na kumweshimu mwanangu Niko tayari ajichagulie anataka aende bure au kias gani?
 
Kijana nahisi ushamba was Mambo ya wakubwa unnamsumbua .
 
Mahali inatafsiriwa kubwa au ndogo kutokana na kipato Cha mhusika.

Elfu 10 kwako
Inaweza isitoshe hata breakfast asubuh,

Ila iyo iyo elfu 10 kwa mwingine,
ikatunza familia nzima ya watu 6 asubh na jion kwa sikU 3 mfulurizo.

Nmeongea kutokana na uhalisia wa maisha ya kijana na binti mwenyewe
 
Hamna nilikomshushia heshima binti.

Binti , keshajishushia heshima yeye mwenyewe tayar kitendo Cha kuzalishwa Nyumbani.

Wazazi walibidi wawe wapole,
Unampigaje faini mtu aliemsitiri mwanao kwa aibu ya kuzalia nyumban?
 
Wewe jamaa ni pimbi sana,kwa hiyo mahari ya binti yako utaorodhesha gharama ulizotumia kumlea plus kumsomesha! Je unamuuza?

Let say ukaweka mahari milioni kumi au ishirini akakulipa unategemea huyo mwanaume atakuja hata hospital kukuletea matunda ukiwa umelazwa? Hahahaha
 
Huyo jamaa ni mjinga tu,hana tofauti na hiyo familia,anajidai ana pesa kumbe anaishi kwa shemeji yake bagamoyo, anakuja na hoja eti ooh hizo pesa zinaendana na gharama za kumlea huyo binti mpaka azione nyingi?

Anashindwa kujua kuwa suala la ndoa unaunganisha undugu na ukoo mwengine au familia nyengine,baada ya ndoa kufungwa mutaendelea kushirikiana na kusaidia ktk mambo tofauti tofauti,kama misiba,maradhi,tafrija,na unapoamua kumuozesha binti haumuuzi, bado ataendelea kusaidia familia yake kwa kushirikiana na mumewe.sasa ukianza kujumlisha ada za nursery, primary, secondary, university ndo ufanye iwe mahari,tafsiri yake unamuuza,na kama ni mimi nitalipa hiyo,baada ya hapo hatakaa amuone binti yake au mimi mkwe wao,
 
Huyo kijana ni mpumbavu wa daraja la kwanza.Pia nakulaumu wewe uliyetuletea hii habari,ilikuwaje ukamuacha aondoke na meno yake yote?
Wewe na huyo bwege mmedhalilisha uanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…