Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Doooohhh huyo kijana karogwa siyo bure, mwanamke uliyempa mimba na bado unalazimika had kuuza vtu na kukopa kulipa mahari?

mimi binafsi ningeghairi, na wangeniita tena ningewaambia nina milion 1 tu

bint alishazalishwa na ana mimba juu ndo unikomoe ktk mahari?

Amejiendesha kwa hisia mno
Mapenzi yanampeleka puta kijana
 
Inaendelea.
Baada mzozo kati ya baba wa mtoto na ndg wa binti,ikaamriwa binti aondoke na mwanae kuja ninakoishi ili kufanya taratibu za ndoa,baada ya kuwasili kwangu siku tatu nikaanza kupigwa pesa,kumbuka wakati huo mahari sijatoa hata buku,ikaja taarifa mama mkwe kadondoka kilabuni hivyo natakiwa nitume 30,000/= ya kumtibia,nikamwambia binti hivi mama ameenda kunywa pombe za kienyeji kaumia ni lazina mm nimtibie? Binti akanikata jicho siku nzima amenuna,nikawa simwelewi binti muda wt anaongea na simu nikiwepo snatoka hatua kidogo ndo anaongea na simu.
Nikaona haina shida nikapita sehemu nikanunua memory card 8Gb nikaipachika kwnye simu ya binti nikaiset auto record,baada ya siku tatu nikaitoa kwny simu yake nikaiweka kwa simu yangu,mambo niliyoyakuta humo ni balaa tupu,wanamjaza maneno 'huyo mwanaume asikusumbue yy ndo mwny shida kukuacha hawezi,ukiona haeleweki au hataki kusaidia nyumbani kwenu wewe mnunie hata wiki nzima hana ujanja huyo',wengine wanamwambia jitahidi akupachike mimba ndo utakuwa na uhakika.
ila kusema ukweli yule bint kitandani sijawahi kutana na mwanamke gaidi kitandani kama huyu binti yaani mnaweza mkatiana mpaka ukahisi shahawa zimeisha aisee,ukitoka job ukifika chumbani tayari kafunga mlango mboo mdomoni hujakaa sawa tayari kaishaipachika sehemu yaani ilikuwa ni shida,ukimweleza nimechoka ngoja nipumzike atasusa kuwa umetoka kwa hawara zako ndo waliokuchosha,.
Basi bwana tukaendelea na maisha ya wiki kasusa wiki mambo mambo mazuri,alichokuja kuharibu ni kuanza kunyanyasa watoto wangu yaani hapo ndo nikaamua kuwajulisha wazazi wake jambo lililopelekea zoezi la kususa wiki mbili mfululizo.
Baada ya muda akaanza kudai nimrudishe kwao,nikajua kama kawaida mm ndo mwenye shida nikawa nimeuchuna,nikaja pigiwa simu na mama yake mzazi ananiuliza huyu mfanyakazi wako unamrudisha lini? Kitendo cha kuniuliza mfanyakazi wako badala mke wako kiliniuma sana.Kumbuka lengo ni kunitikisa kama walivyokubaliana,nikamjibi sina nauri asubiri mwisho wa mwezi nitamrejesha,akanijibu hovyo nikapotezea,
Jioni hiyo nikawaza huu ujinga hadi lini? Nikapata jibu huyu binti kesho alfajr namsafirisha ghafla kumrejesha kwao bila kutoa taarifa kwao.

Itaendelea.
Walitaka kukuchukulia zoba zoba flani wkt unamsitiri binti yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo rafiki yako mpumbavu sana. Tena sana sana sana. Lofa wa mwisho kabisa. Na huyo binti hana akili.

Ningekua ndo kijana nimeshachapa zangu mimba nasepa. Bakini na litoto lenu. Yaan hiyo fine ndo ujinga kabisa. Kama alizalishwa na akaachwa nini sababu ilifanya atemwe? Familia za kimasikini tatizo sana. Niko against na mahari sana. Mkaja wa mama ndo nadhani kitu cha thamani. Mengine mbwembwe tu
Wote tu na mtoa mada kundi moja
 
Wazazi nao tatizo utawasikia "nimetumia hela nyingi kumsomesha mtoto wangu........",ndio maana wengine wanazalisha wanasogezana wanakaa wenyewe,mwisho wa siku mzazi mwenyewe anaomba kuongea na mkwe wake ili amuoe mwanae.
 
Safi Sana,
mabinti wengi hawaangalii kesho yao.

Sipati picha kijana wa watu Maumivu Kama Ayo alopata Kwenye mahali, Afu binti ndo alete za kuleta kwny Ndoa.

Itakua Yale Yale ya GUNIA MBILI ZA MKAA mtu anachomwa Moto kisa visirani na vinyongo moyoni.
Aafu unakuta umeletewa na mtoto asiye wako
 
Huyo rafiki yako mpumbavu sana. Tena sana sana sana. Lofa wa mwisho kabisa. Na huyo binti hana akili.

Ningekua ndo kijana nimeshachapa zangu mimba nasepa. Bakini na litoto lenu. Yaan hiyo fine ndo ujinga kabisa. Kama alizalishwa na akaachwa nini sababu ilifanya atemwe? Familia za kimasikini tatizo sana. Niko against na mahari sana. Mkaja wa mama ndo nadhani kitu cha thamani. Mengine mbwembwe tu.
Nashaanga sana familia zinazo endekeza mila za hovyo kama hiyo ya kumpiga fine mwanaume,hivi wanajiulizaga kama huyo mwanaume angeamua kukataa mimba hiyo fine wangempiga nani? Angeamua kukataa kumuoa hiyo fine wangempiga nani? Ilipaswa washukur kwanza kwa huyo kijana kuwa tayari kumuoa binti yao na amekua muungwana kwako.
 
Nashaanga sana familia zinazo endekeza mila za hovyo kama hiyo ya kumpiga fine mwanaume,hivi wanajiulizaga kama huyo mwanaume angeamua kukataa mimba hiyo fine wangempiga nani? Angeamua kukataa kumuoa hiyo fine wangempiga nani? Ilipaswa washukur kwanza kwa huyo kijana kuwa tayari kumuoa binti yao na amekua muungwana kwako.
Okey, sawa, tuseme fine ziwepo ili vijana wafate taratibu zinazotakiwa. Kwanini fine iwe ya kukomoana? Na lwa huyo aliyemzalisha je? Hayo mazingira ya binti yao hawayaoni ama? Huyo binti hap ndo malaika? Hakujua kama hayukonsalama atashika mimba?
 
Okey, sawa, tuseme fine ziwepo ili vijana wafate taratibu zinazotakiwa. Kwanini fine iwe ya kukomoana? Na lwa huyo aliyemzalisha je? Hayo mazingira ya binti yao hawayaoni ama? Huyo binti hap ndo malaika? Hakujua kama hayukonsalama atashika mimba?
Sasa hapo itakuwa wanamuadhibu mwanaume tu kwa kumpiga fine,hali ya kuwa binti alimpelekea jamaa ili wastarehe pamoja.ndo maana mimi sioni logic hapo ya fine
 
Ni kijana wa Miaka 25, shahada ya Ualim, ila hakubahatika kupata ajira rasmi.

Amejiajiri kwa kufungua twisheni za mitaani na kabahatika kupata mchumba ambae ni binti wa Miaka 21 ( Ila tayar ana mtoto wa Miaka 3). Amedumu kwenye mahusiano na binti kwa mwaka mmoja tangu Desemba 2020 na Sasa na mwezi Januari 2021 alishika ujauzito wake. Ambapo kwa Sasa anamimba yenye miez 5, kijana akaona afanye mchakato wa kuanza Kuishi rasmi pamoja na binti.

Kaandika barua ya uchumba ukweni imepelekwa na imekubaliwa, majibu yamerudishwa vimeorodheshwa vitu kadhaa na pesa taslim ambazo ukijumlisha inakuja jumla ya 4,600,000 (million 4 na laki 6)

Kijana akazungumza na mshenga kua icho kiwango Ni kikubwa na hawez kabisa kukimudu, mshenga kamshauri asiogope Ayo yanazungumzika na kitapunguzwa Sana watakapoenda kutambulishwa.

Siku ya kutambulishwa maongezi ya punguza yanaendelea, ila Mwisho kabisa wazazi na Ndugu wa MKE wakaishia milioni 2 taslimu (million 1 kwa ajili ya mahari na million 1 Ni faini ya uchafuzi- kuzalisha kabla ya kuoa ). Na mkaja wa mama laki 5 na vitu mchanganyiko vinavyogharimu laki 7. Jumla vyote unapata million 3 na laki 2.

Kijana kasema yeye hicho kiwango hana na hawezi kupata kabisa kwa sasa, kwa kazi anayofanya haimruhusu kabisa kupata kiasi icho. Akasema yeye alijiandaa kwa million 1 na laki 5 kwa Mambo yote.

Mshenga akaliwasilisha kwa Wazee, Wazee wakasema "ilo haliwezekani kijana maana kwenye ukoo wetu hamna mtu ameolewa chini ya million 2 mahari na vitu vyetu, iyo umependelewa kutokana na uchumi Wako Kama alivyotuambiwa na binti yetu"

Kijana akakubali ila akaomba alipe kwa awamu, 1.5million afu baadae atamalizia 1.7million. Wazee Nalo wakakataa kata kata kua hamna cha kupunguza hapo, labda akajipange KWANZA akiwa tayari aje

Kijana amepanik, Ameondoka amemuacha binti kwao na anazunguka uku na kule Anaomba akopeshwe pesa ili akamilishe zoezi. Kaja KWANGU kwetu Kama watu wake wa karibu tumsaidie kwa Hali na mali kakamilisha zoezi lake ili alilokwisha lianza. Kaniomba nimsaidie au nimkopeshe kiasi icho, Kiukweli nafsi yangu imegoma kabisa na nimemwambia kabisa kua yeye Ni rafki yangu ila kumchangia suala Hilo maana naona anajitwika mzigo mkubwa wkt uwezo wake ni mdogo.

Kuna vipaumbele vingi vya Ela ila sio kwa ilo, ila Kama uwezo anao apambane mwenyewe tutamsapoti kwa vingine.

Kijana
Amepambana kwa kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndani Kama laptop, dressing table na stendi ya viatu. Jumla vyote kauza kapata laki 5 na 50.

Amepambana tena ameenda Kwenye taasisi flani izi za mitaani ya kukopesha fedha, ameweka bond kiwanja alichaochiwa na marehem mama ake mzazi kwa ajili ya mkopo wa 1.3 million kwa miezi 6. Kaniomba nikamdhamini, na kiroho Safi nimemdhamini na mkopo kapata chap kaenda kumaliza zoezi lake.

Ila baada ya kijana kuondoka NIMEBAKI NA MASWALI YAFUATAYO KICHWANI:

1. mahari Ni malipo ya shukrani kwa wazazi kwa kumtunza vema binti yao.
-Inakuaje kijana alazimishwe kulipia mahari kubwa kwa binti ambae alimkuta bila bikra?
Kibaya Zaid binti alishazalishwa kabla.

2. Inakuaje kijana atozwe faini ya uchafuzi wakati binti mwenyewe tayar alikua keshazalishwa hapo awali na binti tayar alikua na mtoto mkubwa? Maana Ake iyo mimba ya jamaa inakua ni mimba ya pili kwa uyo binti?

3. Wazee inakuaje wang'ang'anie binti yao hawezi kuolewa na kijana bila kumaliza kabisa mahari wakati wanaona kabisa kijana uwezo wake kiuchumi Ni mdogo?

4. Wamechukua hatua gani kwa kijana aliemzalisha binti yao hapo kabla ya kulipa mahari?

5. Wazee, je Binti yao amegeuka bidhaa ya kuuzwa kiasi kwamba lazima awekewe kiwango maalum Cha gharama za kuolewa rasmi, na isipofikiwa Basi haiwezekani? Yaani eti "Hakuna binti yetu yoyote ameolewa kwa mahari chini ya mil 3"

6. Kijana anajiskiaje anapokua na mke ndani ambae ameingia madeni na gharama za kuuza vitu vyake kwa hasara ili mradi amuoe? Yaan una MKE ambae umepata kwa gharama,madeni na Maumivu makali sana?

7. Itakuaje endapo atashindwa kurejesha Deni ndani ile miez 6 na kiwanja Cha urithi kichukluliwe kisa Ela ya ule mkopo ulienda kulipia mahari ya kuoa MKE?

8. Binti alishindwa Nini kusimama na mwanaume wake kusimama na yeye pamoja kumtetea dhidi ya Wazee wenye tamaa ya Ela ya mahari?

Kiukweli, ili suala limeniacha na sintofahamu nyingi kwa jamii zetu hizi kuhusu ustaarabu na mtizamo wao Kwenye suala Zima la Utoaji wa mahari.
Ningekuwa ni mimi, ningewapa laki nane na ningeanza rasmi kuishi na huyo binti na hakuna chochote ambacho wangeweza kunifanya.
 
Kuna baadhi ya Makabila kipengele cha Mahari huwa hairuhusiwi kutolewa yote, kama waliandika mahari ni milioni 1 unaweza kutoa nusu na inakubalika. Wanadai ukilipa mahari yote ni sawa umemnunua Binti yao na haruusiwi kurudi kwao. Ila hivyo vikolokolo vingine vyote (Faini, Mkaja wa Mama etc) huwa vinalipiwa ela yote au upeleke vitu husika vilivyoandikwa kwenye barua. Hii inahitaji umpate mshenga mzuri wa kuongea na kupanga hoja.

Huyo mwalimu tayari ameshapachika ujauzito, hawakustahiki kumfanyia hivyo kwa kuwa pia tayari alishazalishwa na mtu mwingine hivyo thamani yake nayo imepungua.

Ningekuwa mimi kwenye hali ya namna hiyo tayari ana ujauzito wangu, ningewaachia Binti yao kisha nawaambia tutarudi mwakani tunaenda kujipanga upya halafu sirudi tena maana vitu vingine vinatia hasira.

Aisee!. Binti tayari ameshakuwa Singo Mother halafu wanataka kumuongezea tatizo lingine.
Binti kama sio bikra automatic anakuwa valueless. Hii ni kwa wenye imani tu.
 
Siwezi kuuza vitu vyangu kwa ajili ya kutoa mahari. Nitafanya biashara au kutafut pesa kwa kazi zangu ila siyo kwa kukopa. Hata kama tuna mtoto, nitalea tu
Huyo jamaa atakuwa ni limbukeni wa mapenzi tu.
Ni KERO sana, unabaki unajiuliza huu Ni ustaarabu wa namna gani kwa jamii yetu
 
Back
Top Bottom