Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Hana akili tu, unakopa ili ukalipe mahari unasahau kuwa huyo mke ni mjamzito sasa sijui akijifungua napo ukakope tenaJamaa ni boya sana. Hapo alitakiwa awaambie ana laki nne (inne in kiha voice) tu wakizingua anasepa na wangemtafuta tu ikizingatiwa kuwa tayari kampiga mimba binti yao.
Hayo madeni yanaenda kumtesa milele ikizingatia mke mwenyewe ni used tena kweli kweli (in Magufuli voice) nhiiiiiii