Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Jamaa ni boya sana. Hapo alitakiwa awaambie ana laki nne (inne in kiha voice) tu wakizingua anasepa na wangemtafuta tu ikizingatiwa kuwa tayari kampiga mimba binti yao.
Hayo madeni yanaenda kumtesa milele ikizingatia mke mwenyewe ni used tena kweli kweli (in Magufuli voice) nhiiiiiii
Hana akili tu, unakopa ili ukalipe mahari unasahau kuwa huyo mke ni mjamzito sasa sijui akijifungua napo ukakope tena
 
Hahahahahaha! Mimi walifanya hivyo nikawalipa mahari yote then nikawaambia sina mpango wa kumuoa,ila nitamuhudumia mtoto wangu,now imepita miezi 9 tangu ajifungue natoa huduma kwa mtoto kama kawaida,ilibidi mama mkwe aombe radhi kwa waliyoyatenda,nimewajibu nimeshawasamehe ila siwezi kumuoa binti yao.
We ulizidisha adhabu yaani ukatoa mahari alaf ukagoma kumuoa? Hapo lazma wao umemtia mtoto wao gundu
 
Uyu binti akil empty aiseee alitakiwa apange na mumewe mtarajiwa kias ambacho mume kajiandaa pili angeenda kuongea na wazaz wake kuhus mahal hiyo kabla mchumba kwenda akisema asikilize wazaz atadodea nyumban watoto wote atazalia nyumban afu hawo hawo wazaz waliyotak kumuoza kwa gharama kubwa wataanza kumsema mbona haolewi wasichana kuwen na akil na maarifa vijana wanatafuta kwa nguvu kubwa mno kwahiyo usiposimama wew kama msichana utaishiwa kuposwa na kuachwa

Mimi mume wangu aliyenitolewa mahal mwez wa4 nilipanga nae kabisa budget aje atoe mill1 nalaki5 aifadhi kama posa nauli mana alitoka mbal mahari pa kufikia na kusafirisha baadh ya ndugu nashukuru mungu nilikaa na mama yangu na kaka yangu nikawaambia hal halis kuwa kijana huyu n kijsna ninaempenda pia uchum bado so akja na chochote mumpokee nikawashawish wakanielewa kwahiyo walivyokuja mambo hayakuwa meng yalienda mteremko tu
 
Ndio maana huwa naipenda sana dini ya kiislam hawanaga haya mambo ya tamaa tamaa, Yaani ukweli mimi sio muislam ila ninapofika katika swala hili la kutoa posa naona dini hili walifuata sheria ya Mungu.
Wakristo tumejawa na tamaa nyingi sana kama vile tunauziana bidhaa
 
Uyu binti akil empty aiseee alitakiwa apange na mumewe mtarajiwa kias ambacho mume kajiandaa pili angeenda kuongea na wazaz wake kuhus mahal hiyo kabla mchumba kwenda akisema asikilize wazaz atadodea nyumban watoto wote atazalia nyumban afu hawo hawo wazaz waliyotak kumuoza kwa gharama kubwa wataanza kumsema mbona haolewi wasichana kuwen na akil na maarifa vijana wanatafuta kwa nguvu kubwa mno kwahiyo usiposimama wew kama msichana utaishiwa kuposwa na kuachwa

Mimi mume wangu aliyenitolewa mahal mwez wa4 nilipanga nae kabisa budget aje atoe mill1 nalaki5 aifadhi kama posa nauli mana alitoka mbal mahar pa kufikia na kusafirisha baadh ya ndugu nashukuru mungu nilikaa na mama yangu na kaka yangu nikawaambia hal halis kuwa kijana huyu n kijsna ninaempenda pia uchum bado so akja na chochote mumpokee nikawashawish wakanielewa kwahiyo walivyokuja mambo hayakuwa meng yalienda mteremko tu
Staili hii ndio hufanyika kwa wapenzi wengi.

Familia za kimasikini zinachukulia Mahari kama sehemu ya kupata mtaji. Hawajui kuwa Binti akiolewa anawapa heshima wao
Wanamuongezea gundu binti yao maana tayari kawa singo mother na ana ujauzito wa mtu anaetaka kufunika aibu, bado wanaweka vikwazo vitavyomuumiza tena binti yao.
 
Hahahahahaha! Mimi walifanya hivyo nikawalipa mahari yote then nikawaambia sina mpango wa kumuoa,ila nitamuhudumia mtoto wangu,now imepita miezi 9 tangu ajifungue natoa huduma kwa mtoto kama kawaida,ilibidi mama mkwe aombe radhi kwa waliyoyatenda,nimewajibu nimeshawasamehe ila siwezi kumuoa binti yao.
Safi kabisa...wacha wakae na mtoto wao.
Kwanza mbususu zipo nyingi tuu kitaaa
 
Usisahau kuwa nawe ulimfanya mtoto wao chombo cha starehe ukijimwambafy na unapokuwa kwenye halaiki ya watu.

Haya hivyo nina uhakika ungepewa bure naponungeanza kulalamika mwanamke gani huyu nimepewa bure...

Lipa mahali kamata mke....
 
Swala sio kulipa mahari. Swala ni kulipa milioni tatu cash, in full amount kama dau la mahari.

Hivi inaingia akilini unalipia mahari ya shillingi million tatu kwa mwanamke ambaye kwanza si bikra, pili ana mtoto, na tatu, hao wakwe huko mbeleni hatutategemeana kwani?!

Me nikilipia hiyo nabeba familia yangu nduki, wasinitafute kwa lolote isipokuwa salamu tu na kujuliana hali.
 
Ndio maana huwa naipenda sana dini ya kiislam hawanaga haya mambo ya tamaa tamaa, Yaani ukweli mimi sio muislam ila ninapofika katika swala hili la kutoa posa naona dini hili walifuata sheria ya Mungu.
Wakristo tumejawa na tamaa nyingi sana kama vile tunauziana bidhaa
 
Muoaji na wakwe zake wote hawana akili.

Binti mwenyewe ni mchafu alizaa akiwa na miaka 18 tena nje ya ndoa.

Wazazi wengine bhana sijui ata wanaujinga gan vichwan mwao, mtu kaamua kuficha aibu ya mtoto wao ila bado wanamuona mjinga
Kijana alitakiwa kuwaambia halipi mahari mana mtoto wao ameshazaa kitambo,kwahiyo yeye apewe mke tu
 
Back
Top Bottom