Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kinachokuweka huku kwetu nini nenda kasome Qur'an uwe muislamu, kanisa gani umeambiwa ulete chupi,?
 
Alianza kujenga Abraham wapi na mwaka gani!?
 
uyu ana pwenti asa ilo jambo la me na ke kukaa pamoja. watenganishw wasikae seemu moja bana.
 
🤣🤣🤣hao walokole hao
Sisi Roma hata mikono hatupeani sikuhizi
Tunainama tu kwa heshma kupeana salamu na amani
 
Hiyo mgeukie ni mtihani shehee....Kuna siku niligeukiwa na mtu...mdomo unatema kama breweries😝
 

Mgeukie jirani yako mwambie Wewe ni kondoo
Mimi: namwangalia mtoa mada
"wewe ni kondoo"
 
Hiyo ya kusema mgeukie jirani yako mwambie jumanne nitakuja ibadani, nitachangia mchango aisee siipendi kabisa ndio maana niliacha kwenda makanisa ya kina apostle nimerudi kwa Padre hakuna mambo ya mwambie mwenzio sijui mgeukie mwenzio. Sina sababu ila sipendi tuu Au muimbaji ameenda mbele kuimba utasikia simama kwa miguu yako tumsifu Bwana, au inua mikono yako juu mchapie Bwana makofi ya juu aisee siipendagi kwasababu hivyo vitendo huwa vinakuja automatically kulingana na wimbo au neno lilivyomgusa muumini hapo ndani kanisani
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mara nyingi hiyo ya mgeukie jirani huwa unajikuta umetoa ahadi madhabahuni ambayo huna uhakika wa kuitimiza
 
Majin ni mapepo mabaya ni sehem ya Mashetan so kukaa nayo ni ushwetan wenyewe Sheikh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…