Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Yaani mnabadilishana namba mkiwa ibadani?

Tatizo la dini zetu, zinaongozwa kwa fikra za watu. Wenzetu waislamu wamejikita katika Koroani yao na ndio reference yao. Sisi mchungaji anaweza kuamka na kuja kanisani na kuamuru, MWENYE SHIDA YA UZAZI ALETE CHUPI YAKE NIIOMBEE.
Kinachokuweka huku kwetu nini nenda kasome Qur'an uwe muislamu, kanisa gani umeambiwa ulete chupi,?
 
(Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa)
Mkuu maarifa ni muhim kitu hukijui kisome au uilize hilo sio jiwe
Alafu hio nyumba ilianza kujengwa na Ibrahim ambae nyie mnammuita Abraham
Sasa nyumba amabayo kajenga mtume ambae nyie pia mna mkubali leo hii unaiita jiwe? [emoji23][emoji23]
Alianza kujenga Abraham wapi na mwaka gani!?
 
uyu ana pwenti asa ilo jambo la me na ke kukaa pamoja. watenganishw wasikae seemu moja bana.
 
🤣🤣🤣hao walokole hao
Sisi Roma hata mikono hatupeani sikuhizi
Tunainama tu kwa heshma kupeana salamu na amani
 
KKKT ibada yao inafanana kidogo na roman katolic sema kuna baadhi ya vipengele wanapishana, ila hii sehemu ya mgeukie jirani yako sioni ubaya wowote isipokuwa binadamu hisia na mawazo yake ameyapekeka kwenye uasherati ndio mana watu wanaombana no ila mchungaji nia yake sio mbaya
Hiyo mgeukie ni mtihani shehee....Kuna siku niligeukiwa na mtu...mdomo unatema kama breweries😝
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?

Mgeukie jirani yako mwambie Wewe ni kondoo
Mimi: namwangalia mtoa mada
"wewe ni kondoo"
 
Hiyo ya kusema mgeukie jirani yako mwambie jumanne nitakuja ibadani, nitachangia mchango aisee siipendi kabisa ndio maana niliacha kwenda makanisa ya kina apostle nimerudi kwa Padre hakuna mambo ya mwambie mwenzio sijui mgeukie mwenzio. Sina sababu ila sipendi tuu Au muimbaji ameenda mbele kuimba utasikia simama kwa miguu yako tumsifu Bwana, au inua mikono yako juu mchapie Bwana makofi ya juu aisee siipendagi kwasababu hivyo vitendo huwa vinakuja automatically kulingana na wimbo au neno lilivyomgusa muumini hapo ndani kanisani
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mara nyingi hiyo ya mgeukie jirani huwa unajikuta umetoa ahadi madhabahuni ambayo huna uhakika wa kuitimiza
 
May Allah Almighty guide you!!! Majini ni viumbe kama wewe ulivyoumbwa!! Wapo wema na wapo WAOVU kama ilivyo kwa Wanadamu!!!!

Wewe timiza jukumu na wajibu wako KWA MOLA WAKO na VIUMBE WENGINE NAO WATATIMIZA WAJIBU WAO KWA MOLA WAO!!!

[6.130] O assembly of jinn and men! did there not come to you apostles from among you, relating to you My communications and warning you of the meeting of this day of yours? They shall say: We bear witness against ourselves; and this world's life deceived them, and they shall bear witness against their own souls that they were unbelievers.
Majin ni mapepo mabaya ni sehem ya Mashetan so kukaa nayo ni ushwetan wenyewe Sheikh.
 
Back
Top Bottom