Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Achukue huu ushauri wako aufanyie kazi naamini utamsaidia
 

Nitajie aya moja tu inayoelekeza madai yako haya.

1.kuita majini

2.kuyatengeneza

3.kuyafuga.
 
Pigo za kuitana majina jumuiya hadi mtu mzima anaitwa na kutikiwa zilikuwa zinanikera, mfano baba angu ni mkatoliki aendagi kanisani.....ipo wazi akifa atazikwa normal tu bila watu wa imani yake kumzika kiimani yake

Kiukweli inna Al hamdulillahi kuwa muislam, it wasn't easy, imagine hadi unaitwa jina duuh, aya wasabato wao mfano umehama eti uondoke na barua ya utambulisho ndio huko unakoenda wakupokee kama muumin wao, kwahiyo nikiwa nimehamishwa kikazi hadi jamii yote itangaziwe kanisani duuh

Though I was young ila nilikuwa naona haya mambo hayajakaa sawa(kwangu Mimi lakini eeh, wala si attack imani za watu jamani, naongelea kwa upande wangu)

Kwa wapentecoste ukiwa mgeni wakikubaini tu mgeni eti lazima ujitambulishe......

Now I've grown up na ni muislaam pia, napiga rakaa swala inaponikutia, sipo kwenye data base ya msikiti wowote, everything simplified, complication nizifanye Mimi tu, wala siitwi jina ni mwendo inna halala bayyinu wainna haram bayyinu na kila unachofanya basi jua unaifanyia nafsi yako na mwenyezi mungu si mwenye kuwadhulumu waja zake, in short toka nakuwa sikuwa napenda mambo ya kufuatiliana fuatiliana hadi kunipelekea kufanya mambo kwa riya na sio lillahi tena maana hadi waitwa jina daah hapana kwakweli.....Alhamdulillah
 
Yaani akasali sehemu Moja na Majin(a.k.a mashetani) wamwombe Mungu mmoja? Yaani hapo ndio unamdumbukiza shimoni kabisa
Uislam or Christianity hakuna dini ya muafrika hapo wote tunafuata mkumbo babu zetu waliabudi Chini ya miti mikubwa..mtafute bibi yako/babu yako atakuelekeza vzr or mzee wanakamo usijifanye unaijua sn kitu ilioletwa while u don’t
 
Hapa hatuongelei dini.
 
Tatizo wakristo wengi hamjui Nini maana sahihi ya kuishi katika usafi wa Mwili,roho na Matendo so ukiendekeza ngono ngono sio tu utaukosa uzima wa mielele bali hata mambo yako Mengi yatakwama
 
Mwambie huyo yaani akaabudu Mungu mmoja wakati Sisi tuna Miungu mitatu.hao wawili waliobaki nani atawaabudu??
Na wewe acha bangi zako, endeleeni kuabudunlile dude Lenu mnaloliita kibla, nadhani ndio Mungu wenu alipo maana nasikia huwa hatoki hapo ndio maana mkiswali mnaelekeza kichwa huko, mkifa mnazikwa kupelekwa huko lilipo, Mimi Bora nimwabudu Mungu mmoja katika nafasi tatu kuliko kuabudu mkuu wa maruhani
 
Hizo dini hasa walokole zina uhuni mwingi,,,, walokole ni watu wasiojielewa wanapenda kuongoza kama mapunda chochote wanachoambiwa na machungaji wao wa ajabu ajabu nao wanatekeleza pasipo kutumia akili ya kufikiri yapo yapo tu huko makanisani kama mazombi. Hayaoni, hayaelewi, hayasikii, ni viziwi, vipofu.
 

Hata kupeana mkono napo ni shida,yakikutokea Kama ya huyo mleta mada je
 
Piga makofi mengi, hii mimi hifurahia kwani ukimpiga makofi shavu la kulia anstakiwa akugeuzie shavu la kushoto, hakuna kurudishiana wala kukasirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…