Pigo za kuitana majina jumuiya hadi mtu mzima anaitwa na kutikiwa zilikuwa zinanikera, mfano baba angu ni mkatoliki aendagi kanisani.....ipo wazi akifa atazikwa normal tu bila watu wa imani yake kumzika kiimani yake
Kiukweli inna Al hamdulillahi kuwa muislam, it wasn't easy, imagine hadi unaitwa jina duuh, aya wasabato wao mfano umehama eti uondoke na barua ya utambulisho ndio huko unakoenda wakupokee kama muumin wao, kwahiyo nikiwa nimehamishwa kikazi hadi jamii yote itangaziwe kanisani duuh
Though I was young ila nilikuwa naona haya mambo hayajakaa sawa(kwangu Mimi lakini eeh, wala si attack imani za watu jamani, naongelea kwa upande wangu)
Kwa wapentecoste ukiwa mgeni wakikubaini tu mgeni eti lazima ujitambulishe......
Now I've grown up na ni muislaam pia, napiga rakaa swala inaponikutia, sipo kwenye data base ya msikiti wowote, everything simplified, complication nizifanye Mimi tu, wala siitwi jina ni mwendo inna halala bayyinu wainna haram bayyinu na kila unachofanya basi jua unaifanyia nafsi yako na mwenyezi mungu si mwenye kuwadhulumu waja zake, in short toka nakuwa sikuwa napenda mambo ya kufuatiliana fuatiliana hadi kunipelekea kufanya mambo kwa riya na sio lillahi tena maana hadi waitwa jina daah hapana kwakweli.....Alhamdulillah