Yaani hapo lazima muunganiko utokee🤣🤣🤣Wewe jiulize Paschal amemuacha mke nyumbani akaelekea kanisani, na akakutana na mke wa mtu aliyemuacha mume nyumbani akaelekea kanisani.
Usiache kwenda church nenda na mkeo ili mkumbatiaene vizuri
Ameamua kuchangamshaa genge tu .... Ukiona mtu anakwambia Pisi kali mara anajiweza kiuchumi hapo shetani atasingiziwa tu ... Yaani ndoa za Sasa ni Changamoto Sana. ..Yaani hapo lazima muunganiko utokee🤣🤣🤣
Unaingia kanisani tena Katoliki unakuta upande wa wanawake bado kuna nafasi ziko wazi lakini wanawake wamejazana upande wa wanaume. Hii inaonyesha wazi kuwa mwanamke anajisikia kuwa na amani akikaa karibu na mwanaume.Nakubaliana na mleta mada... zamani makanisani kulikuwa na upande wa wanaume na upande wa wanawake. Sijui wameamua kuchanganya kwa lengo gani. Hili limeleta matatizo mengi hata kuhatarisha maisha ya familia. Makanisa yajitafakari kwenye mpangilio wa kukaa kati ya wanawake na wanaume
Mi kwa mkao huo siendi kwenye ibada. Kwa hiyo nyie mkiambiwa "peaneni amani au mwambie jirani yako" unakutana na mwana kikoba mwenzako na hujarejesha.l mara anakunja sura.AlhamduliLlah Uisslam ni mwema sana, kwanza wanawake siyo lazima kwenda msikitini na tunapoenda tuna sehemu yetu ya Kuswalia kwa ajili ya wanawake tu na wanaume wana sehemu yao ya kuswalia.
Je, unajua tofauti ya jini na shetani/Ibilisi?Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!
Na wakifanikiwa kuongozana utasikia mume anamtambulisha mkewe"nimeongozana na mwenzangu"😅😅😅😅😅si useme nimeongozana na mke wangu.Ameamua kuchangamshaa genge tu .... Ukiona mtu anakwambia Pisi kali mara anajiweza kiuchumi hapo shetani atasingiziwa tu ... Yaani ndoa za Sasa ni Changamoto Sana. ..
Kanisani mnasali wote na muda wa ibada ni mmoja lakini mume anatoka kivyake na mke kivyake .. Wakikutana huko kanisani ni Kama hawajuani kujuana mwisho ni nyumbani 🤔
Sababu upendo umekufa watu wanaishi wasiwaumize watoto na ndugu tuAmeamua kuchangamshaa genge tu .... Ukiona mtu anakwambia Pisi kali mara anajiweza kiuchumi hapo shetani atasingiziwa tu ... Yaani ndoa za Sasa ni Changamoto Sana. ..
Kanisani mnasali wote na muda wa ibada ni mmoja lakini mume anatoka kivyake na mke kivyake .. Wakikutana huko kanisani ni Kama hawajuani kujuana mwisho ni nyumbani 🤔
Mengine yanahimiza hizo kitu ujue😂😂Rudi mtaa wa kwanza mwamba huko hamna hayo Majambo🤔.Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Aisee upo so on point, hakuna kitu kinanikera kanisani, mimi mkatoliki, sio taratibu yetu wakati wa misa lakini kuna mapadri wanapenda, utaiskia "mwambie jirani yako unampenda" mwambie sijui nini, fanya nini, I hate that.Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Unajiuliza ni hawa kweli waliokuwa wanaviziana vichakani au wengine? Kuwakuta pamoja ni kwenye kuweka mashada au mtoto kubatizwa ...Na wakifanikiwa kuongozana utasikia mume anamtambulisha mkewe"nimeongozana na mwenzangu"😅😅😅😅😅si useme nimeongozana na mke wangu.
YeahAisee upo so on point, hakuna kitu kinanikera kanisani, mimi mkatoliki, sio taratibu yetu wakati wa misa lakini kuna mapadri wanapenda, utaiskia "mwambie jirani yako unampenda" mwambie sijui nini, fanya nini, I hate that.
Nakazia.Silimu uwe muislam before it's too late
Si rahisi kubadili dini. Labda kwasababu ya ndoa au pesa. Mimi mwenyewe siwezi hata kuwa msabato au mlokole.Nakazia.
Watu wengi wanakuwa waislamu kwasababu ya ndoa. Ila Kuna waislamu wanakuwa wakristo kwasababu wamependa ukristo. Ni rahisi mtu asiye kuwa na dini kuwa dini yoyoteSilimu uwe muislam before it's too late
ni ushamba tu hata haisaidii kitu. binafsi huwa sipendi na huwa sifanyi hata kama maelekezo yatatolewa namna hiyo. mara tushikane mikono, siku moja mmama mmoja akanishika kwelikweli, kumbe alikuwa single mother na wife anamfahamu, nadhani ile kumshika alikuwa sijui ana siku nyingi sana, nikaona haachii mkono na anafurahia kwelikweli kuushika. wife alikuja akakaa upande wa pili akatutenganisha, na yeye akahama siti baada ya kuona wife hajafurahishwa. mnachotakiwa kujua, sio wote wanaenda makanisani wanafuata Neno la Mungu, wapo wengine wametumwa na shetani kabisa kwenda kuvuruga ibada (wachawi), wapo wengine wamejiuza sana mtaani huko wamechoka sasa pale wanajifanya wametulia ili wapate bwana wa kuzeeka naye, na wapo wale wanaomtafuta Mungu kabisa.Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Shetani anaweza kuwa jini au mwanadam ila jini ni viumbe kama walivyo wanadamuJe, unajua tofauti ya jini na shetani/Ibilisi?