Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Usiache kwenda church nenda na mkeo ili mkumbatiaene vizuri

Yaani hapo lazima muunganiko utokee🤣🤣🤣
Ameamua kuchangamshaa genge tu .... Ukiona mtu anakwambia Pisi kali mara anajiweza kiuchumi hapo shetani atasingiziwa tu ... Yaani ndoa za Sasa ni Changamoto Sana. ..

Kanisani mnasali wote na muda wa ibada ni mmoja lakini mume anatoka kivyake na mke kivyake .. Wakikutana huko kanisani ni Kama hawajuani kujuana mwisho ni nyumbani 🤔
 
Nakubaliana na mleta mada... zamani makanisani kulikuwa na upande wa wanaume na upande wa wanawake. Sijui wameamua kuchanganya kwa lengo gani. Hili limeleta matatizo mengi hata kuhatarisha maisha ya familia. Makanisa yajitafakari kwenye mpangilio wa kukaa kati ya wanawake na wanaume
Unaingia kanisani tena Katoliki unakuta upande wa wanawake bado kuna nafasi ziko wazi lakini wanawake wamejazana upande wa wanaume. Hii inaonyesha wazi kuwa mwanamke anajisikia kuwa na amani akikaa karibu na mwanaume.
 
AlhamduliLlah Uisslam ni mwema sana, kwanza wanawake siyo lazima kwenda msikitini na tunapoenda tuna sehemu yetu ya Kuswalia kwa ajili ya wanawake tu na wanaume wana sehemu yao ya kuswalia.
Mi kwa mkao huo siendi kwenye ibada. Kwa hiyo nyie mkiambiwa "peaneni amani au mwambie jirani yako" unakutana na mwana kikoba mwenzako na hujarejesha.l mara anakunja sura.
 
Ameamua kuchangamshaa genge tu .... Ukiona mtu anakwambia Pisi kali mara anajiweza kiuchumi hapo shetani atasingiziwa tu ... Yaani ndoa za Sasa ni Changamoto Sana. ..

Kanisani mnasali wote na muda wa ibada ni mmoja lakini mume anatoka kivyake na mke kivyake .. Wakikutana huko kanisani ni Kama hawajuani kujuana mwisho ni nyumbani 🤔
Na wakifanikiwa kuongozana utasikia mume anamtambulisha mkewe"nimeongozana na mwenzangu"😅😅😅😅😅si useme nimeongozana na mke wangu.
 
Sababu upendo umekufa watu wanaishi wasiwaumize watoto na ndugu tu
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Mengine yanahimiza hizo kitu ujue😂😂Rudi mtaa wa kwanza mwamba huko hamna hayo Majambo🤔.
 
Mchakato mzima wa ibada, popote pale, umejazwa mbinu za kutawala akili za waumini( mind control techniques).

Kuimbishwa nyimbo, kupiga magoti, viitikio mbalimbali mf. Amin/Amen, kurudia maneno yanasomwa na mwendeshaji na kufanyishwa mambo ya kitoto kama hayo ya “mgeukie mwenzako umwambie Yesu anakupenda n.k.

Ukiweza kataa hayo mambo yote, au angalau baadhi yake, umeanza safari ya ukombozi wa fikara.

Kama hilo moja la kulazimishwa kufanya utoto limekukera, umeanza kuona mwanga, ingawa sio kwa sababu ulizoleta hapa jukwaani mkuu.

Endelea kufungua macho na utaona mengi mengine.

Dini, kama siasa, zipo kwa ajili ya kutawala akili za watu tu.

Full stop and a long break.
 
Dah..pascal ndege umeongea jambo ambalo na Mimi Huwa naliwaza Sana kila siku ya ibada..Huwa nakuwa mzito sana kufanya mambo mchungaji anayosema wakati huo wa ibada...haswa hili mwambie jirani Yako shetani hanipati tena , ukiangalia pemben umekaa na pisi Kali....
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Aisee upo so on point, hakuna kitu kinanikera kanisani, mimi mkatoliki, sio taratibu yetu wakati wa misa lakini kuna mapadri wanapenda, utaiskia "mwambie jirani yako unampenda" mwambie sijui nini, fanya nini, I hate that.
 
Na wakifanikiwa kuongozana utasikia mume anamtambulisha mkewe"nimeongozana na mwenzangu"😅😅😅😅😅si useme nimeongozana na mke wangu.
Unajiuliza ni hawa kweli waliokuwa wanaviziana vichakani au wengine? Kuwakuta pamoja ni kwenye kuweka mashada au mtoto kubatizwa ...

Jamaa yetu yeye mke anaenda kanisani ila yeye haendagi , binti yake mdogo akawa anafanyiwa ubatizo ... Ili kujitoa ufahamu akanywe pombe kidogo maana ilikuwa lazima aende kanisani, kuitwa na mchungaji Bibi na bwana waende mbele sijui ni mshtuko mume alidondaka mbele ya watu.
 
Aisee upo so on point, hakuna kitu kinanikera kanisani, mimi mkatoliki, sio taratibu yetu wakati wa misa lakini kuna mapadri wanapenda, utaiskia "mwambie jirani yako unampenda" mwambie sijui nini, fanya nini, I hate that.
Yeah
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
ni ushamba tu hata haisaidii kitu. binafsi huwa sipendi na huwa sifanyi hata kama maelekezo yatatolewa namna hiyo. mara tushikane mikono, siku moja mmama mmoja akanishika kwelikweli, kumbe alikuwa single mother na wife anamfahamu, nadhani ile kumshika alikuwa sijui ana siku nyingi sana, nikaona haachii mkono na anafurahia kwelikweli kuushika. wife alikuja akakaa upande wa pili akatutenganisha, na yeye akahama siti baada ya kuona wife hajafurahishwa. mnachotakiwa kujua, sio wote wanaenda makanisani wanafuata Neno la Mungu, wapo wengine wametumwa na shetani kabisa kwenda kuvuruga ibada (wachawi), wapo wengine wamejiuza sana mtaani huko wamechoka sasa pale wanajifanya wametulia ili wapate bwana wa kuzeeka naye, na wapo wale wanaomtafuta Mungu kabisa.

uzuri ni kwamba, Mungu huangalia moyo na wale wanaomtafuta kwa moyo tu ndio huwa anaonekana kwao, wale wanaoigiza hurudi na maigizo yao na motoni wataenda. Biblia inasema nawapenda wale wanipendao na wale wanitafutao kwa bidii wataniona, pia inasema, nanyi mtanitafuta na kuniona mtakaponitafuta kwa mioyo yenu yote. Mungu hapatikani kirahisi rahisi tu mara ohh tushikane mikono tuombe sijui nini, tafuta Mungu kwa roho yako yote toka ndani ya kilindi cha moyo wako na chukia dhambi na kuikimbia, soma Neno la Mungu na uwe mtu wa maombi, hapo ndipo utakapo mwona.
 
Back
Top Bottom