Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Ni kweli, anayejiita Nabii mkuu ametoa ofa ya wanawake wanaojiuza hapa Arusha mjini wale wa maeneo ya Mrina na Shivaz waende Kama walivyo (half naked) atawapatia ruzuku / msaada na waumini wote wakalipuka kwa vifijo ... Nimetafakari Sana hili Jambo nakugundua makanisa mengi ni masinagogi yasiyo rasmi na serikali Wala hawajatoa neno ..
 
Yaani wewe ndio yamekukuta kabisa
 
Hehehe
 
Kwamba Allah anahitaji msaada wako
Hivi nyinyi mnaoeneza dini ya uislam mumepata wangapi. Ngumu sana kuwa mwislamu. Ni rahisi sana mfano Mimi Kuku akifa nakula. Kitimoto nakula ghafla niache mnamatatizo. Kila mtu abakie na dini yake na tumeishi hivyo miaka mingi ikifika muda wa kuabudu kila mtu aende kwake.
 
huyo nabii anayejiita mkuu, sikuliza sana mahubiri yake, utagundua anajizuia kutaja Jina la Yesu, kwasababu lina moto. anatumia jina lake na nguvu zake binafsi. na amekuwa mmoja wa watu wanaopinga Biblia anasema imekosewa na anasema wakristo wamedanganywa na wamisionari toka ulaya waliyoiandika, yet bado anaendelea kuitumia hiyo hiyo na bado anaendelea kujiita Mkristo muumini wa hiyohiyo Biblia. anahcofanya ni sawasawa na anachokifanya yule nabii wa uongo Ceaser mume wa grace zoazoa, wale walokuwa wanasapoti ushoga hadi kikanisa chao kikafungwa. nao wanalipia kabisa maudhui hewani kwenye kitivii chao cha TOP PLUS ili wawe wanageuza maneno ya Mungu, kila wanachofanya wanapinga Biblia na wakati huohuo wanasema wanaiamini. hawa ndio manabii wa uongo, wengine ni mashetani kabisa yamevaa miili ya watu wao tayari wameshaijua ijara yao kwamba ni watu wa motoni ndio maana wanaweza kufanya matendo ya ajabu kabisa bial kuona hata aibu kwasababu wametumwa na shetani kufanya hivyo.
 
Biblia ni kitabu kinakunyenyekesha kwa Mungu. Ukitafuta vitu positive utavipata ukitaka negative utavipata
 
Umesaha na ile, muangalie mwenzako usoni, mi huwa sifanyi matendo hayo nabaki nimetulia tu.
 
...Kama ulifuata Kusali TU, Hata unshikana Mkono na Mii World usingemuona na ungeona Muumini Mwenzako TU wa Kawaida.
Lakini Kwa sababu ulikwenda na Akili nyingine, ulipomshika TU Mkono, Ibada yote ikakutoka na ukaona Mwanamke Mzuri huku una Mkeo Mzuri Nyumbani !
Maandiko yanasema Ukimtamani TU Umekwisha kuzini naye na kutanda dhambi !
Shindwa na Ulegee.
Utabadili Makanisa mengi...!!![emoji57][emoji57][emoji57]
 
Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Mkeo kakaa kushoto, unaambiwa geukia kulia
 
Hizo kero unazozipata chanzo chake ni shetani. So huwezi kum-exclude kwenye mada kama hizi. It's a multidimensional aspect.
Unapiga siasa tu. Hakuna mtu amefika mninguni akarudi akasema dini ya kweli ni ipi. Muabudu Mungu ulipo au unaona una Amani.
 
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Kwani bibilia inasemaje, kama hayo sio mafundisho ya bibilia si muwaambie hao wachunaji wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…