Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Yaani akasali sehemu Moja na Majin(a.k.a mashetani) wamwombe Mungu mmoja? Yaani hapo ndio unamdumbukiza shimoni kabisa
Ila sijawahi kusikia waislamu wakikemea mapepo au majini msikitini,nadhani huko kwao hakuna hayo mapepo au majini,ila kwenye baadhi ya makanisa sio yote ndo hukemea mapepo au majini na waumini baadhi hudondoshwa nayo kwa sababu yapo makanisani kwao.
 
Muangalie jirani yako, mshike kwa mikono, muangalie ndani ya macho na mwambie.....nasinzia nikikuwaza, kila siku ya kalenda😆
 
Siyo kweli, wazinzi wawili mlikutana mkaacha kusali mkafuata mawazo yenu.
 

Majini yanakuaje mema sawa sawa na uambiwe kuna vibaka wema[emoji28][emoji28]
 
Naunga mkono hoja mhe. nenda kakae na timu yako vizuri hili nalo mkalitizame
 


My beautiful Tanganyika!


Kwamba ‘mamlaka’ zichukue hatua dhidi ya hisia zako za kingono?! (za mapenzi ana miliki mkeo)




Katika adventures zenu tafadhalini sana muwe mnakumbuka kwamba mna watoto wanaowategemea ninyi Kama Viongozi wao na msingi muhimu wa maisha yao. Mkipotea ninyi mnawapoteza na watoto.
 
Ila sijawahi kusikia waislamu wakikemea mapepo au majini msikitini,nadhani huko kwao hakuna hayo mapepo au majini,ila kwenye baadhi ya makanisa sio yote ndo hukemea mapepo au majini na waumini baadhi hudondoshwa nayo kwa sababu yapo makanisani kwao.
Wewe unaweza kumkemea na kumfukuza ndugu yako? Wale wanaamini na zipo Aya kabisa zinathibitisha hilo kuwa majini ni Waislam na wote husali sehemu Moja, hivyo adhana ikipigwa na majini mbio kwenda kutawadha kuingia msikitini tofauti tu ni kwamba hawaonekani, ila ukiendelea kuwa mbobezi katika hicho kitabu Cha Aya za kiarabu UTAKUWA na uwezo wa kuyaita, kuyatengeneza kwa formula, kuyatumia katika uhalifu( kuiba, chuma ulete), kulogea watu na kutibu watu. Wao wanaamini majini yaliumbwa separate na malaika na wanasema yapo mabaya na mazuri kama ilivyo binaadamu. Lakini ukweli ni kwamba majini yote ni mashetani kwa sababu mkuu wao alikuwa mmoja wa malaika aka hadi Mungu wakapewa adhabu ya moto wa milele na wamekuja duniani kutafuta wafuasi
 
Ulishawahi kumuona muislamu anapiga kelele msikitini ana mapepo au majini?
Kwa nini nijishughulishe na kitu ambacho hakinidhuru na ni kiumbe kama viumbe wengine.

Na baadhi ya makanisa japo sio yote,hata wakatoliki au warutheri sijawahi kuona waumini wakipiga kelele ya kukumbwa na mapepo au makanisa hayo kukemea mapepo kanisani,

Ina maana na wao mapepo au majini ni ndugu zao ndo maana hawayakemei?
 
Huku kwetu kwa waislamu huwezi kukuta wanawake wanachanganyika na wanaume katika ibada. Na hii ndivyo ilivyofanywa na manabii wote waliotangulia hata katika vitabu vya Taurat na Injili na Zaburi ndio hivyo hivo wanawake wanakaa sehemu yao na wanaume sehemu yao.

Lakini Ukristo wa sasa umefanyiwa maboresho kwa jinsi watu wanavyotaka wao na ndio mana utaona hata kuna wachungaji wanawake..
Kisome kitabu chako vizuri utaona hata Yesu alikuwa hachanganyikani na wanawake kama mnavofanya nyie..
 
Dah kwa kweli mimi pia ni muumini wa KKKT ila hili jambo la kuambiwa mgeukie jirani yako msalimie huwa silipendi.
Ni mambo ya kipumbavu kabisa. Mara sijui sema.......... Utadhani mle wamejaa watoto wa chekechea. Wahubiri wa ajabu sana hawa.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]acha hasira mbona sie wenye dini hatulalamiki kila cku nyie tuh
Afu suala la majini ni kama binadamu kuna wabaya na wazuri
Na binadamu ndio kiumbe mwenye shida hapa duniani ebu jiangalie wewe unachuki kwa watu wasio na time na wewe
 
Ni kweli hana mshirika ni mmoja. Je kuna Jiwe lingine jeusi si ni lile moja mnalisujudia na kuliabudu? View attachment 2744688

(Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa)
Mkuu maarifa ni muhim kitu hukijui kisome au uilize hilo sio jiwe
Alafu hio nyumba ilianza kujengwa na Ibrahim ambae nyie mnamuita Abraham
Sasa nyumba amabayo kajenga mtume ambae nyie pia mna mkubali leo hii unaiita jiwe? [emoji23][emoji23]
 
Hi
 
Silimu uwe muislam before it's too late
It will gonna help nothing, Kama ni mzinzi huko ndiyo ataoa na kuacha kila siku, solution ni kuzikabili tamaa za mwili,zinaa kwa mwanamke ni kama pesa tu, there is no a vocabulary ENOUGH, when it comes to desires of women, especially mizigo in sheikh kipozeo's voice!
 
Punguza matumizi ya cannabis unapoenda kanisani kwako [emoji1787]
 
Nawaona wavivu wa ibada wanavyopigilia msumali,hoja, ile ni mbinu ya kuwafanya watu wasipoteze concentration of the service [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…