Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Hayo ya Mungu mlezi mkadanganyane huko masdij na kitabu chenu. Sisi tuna Mungu original sio mlezi
Unarejea Aya za kitabu hicho ambacho ujio wake ndio umeleta upotoshwaji huu mkuu? fikiria, mtu anaibuka miaka 500 baada ya kristu, anadai eti kadhushiwa kitabu ambacho Aya zake nyinginzinapotosha ambayo tayari yalikuwa yameandikwa kwenye biblia.Anakuja kuhalalisha kuwa makini ni viumbe wazuri wakati biblia ilishatbua kuwa makini yote ni mashetani hata yskijifanya mema, miradi yote wanayofanya kwa mwanadamu ni kumteka mwanadamu huyo, Kuna nini Cha kutafakari kwenye dini hiyo? Wewe wadhani dini inayokubali makini Mungu wao ni nani,? wewe wadhani kitabu ambacho kinawatbua makini na kuweka Aya kibao za makini kwenye kitabu hicho, mwandishi wake ni nani? Tafakari chukua hatua. Ila ukiendelea kuwa na UBONGO wa kukaririshwa zile Aya kwa viboko na kuimba huko madrasa kwamba kilishushwa halafu tena kilikuwepo tangu zamani utaendelea kuamini hivyo hivyo .Ogopa Sana elimu yoyote ya kukaririshwa hupofusha matumizi ya UBONGO wako
Hebu weka msitari kwenye biblia unaosema majini wote ni waovu,ukimaliza weka Aya 'nyingi' za Qur'an zilizokopiwa kwenye biblia,ukimaliza tanabahisha ikiwa Musa,Ibrahim nk walikua wakiristo,ukimaliza toa msitari wa biblia yesu kakaa kwenye mabenchi kanisani akifanya au akiongoza Ibada,halafu useme majini wameumbwa na nani!?
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Tukiwa wadogo Kuna siku kaka etu mtoto wa baba mkubwa alitupeleka TAG
Jumapili Moja kusali bila idhini ya Baba mzazi..

Baba mzazi jioni Ile alimgombeza na ku mkoromea sana bro na akampa marufuku aachane na sisi maana sisi ni KKKT
 
Sasa hivi ulokole mwingi sana
 
Kwa hiyo
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Kiongozi majukumu y kifamilia Ndio yanakuzuia kuingia kwenye mahusiano sio! Basi tatizo ni wewe na roho Yako ya uzinzi...KKKT wanaingiaje hapo!
 
Unajua nimepunguza makali tu hii kitu. Actually Inakela wengi sana.
 
Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Ushauri mujaaaarabu kabisa huu
 
Ongea na uongozi wa kanisa mkae upande tofauti Wakatoliki wanawake na wanaume ukaa upande tofauti tofauti
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
unazungumzia kama pale kwa nabii Tito 😳
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili limetokea leo ibadani… nahisi pia ni njia ya kufanya watu wasinzie wakati wa mahubiri
 
Hujakaa na mkaka handsome
 
Back
Top Bottom