Huo msafara nimekutana nao maeneo kabla ya UBENA. Tumesimamishwa kama dk 40!Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu.
Leo wakati naelekea Mpwapwa tumekwamishwa kwa zaidi ya saa moja kwenye kituo cha mafuta jirani na kituo kikuu cha mabasi Morogoro, kwa kweli nashauri wahusika wabuni njia mbadala ya kumsafirisha rais wangu.
Nilikua hapohapo mkuuNa Mimi pia yamenikuta hayo oil com kihonda Nimekaa zaidi ya saa moja Kimsubr mtukufu apite nimekereka sana
Wametumwa na wanasiasa na wafanyabiashara"Mnaolalamika ni wapiga dili".
Wametumwa na wanasiasa na wafanyabiashara"Mnaolalamika ni wapiga dili".
Ustarabu haununuliwi dukani unachokitafuta utakipataNdege anaogopa kupanda Kingereza hajui kuongea kweli huyu tuliingizwa chaka
hapo hata kama Angekuwepo Mgonjwa Kwenye Gari anakimbizwa Osptal Angeshakata Roho.Alinichelewesha kwenye kipindi huyu
Acha aongee kwa uhuru bwana..Mliingizwa na nani?
Rais kujua kiingereza unafaidikaje?
wabongo hamna dogo,hiyo ni kila siku mnalalamika tokea enzi za Jakaya.Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu.
Leo wakati naelekea Mpwapwa tumekwamishwa kwa zaidi ya saa moja kwenye kituo cha mafuta jirani na kituo kikuu cha mabasi Morogoro, kwa kweli nashauri wahusika wabuni njia mbadala ya kumsafirisha rais wangu.
Unashughuli gani kutwa upo mitandaoni kwa ID tofautiWhat is so special on rais wa wanyonge asietaka kuexperience hata kero moja tu ya foleni,kwamba mikutano yake imepangwa kwa muda hata shughuli zetu zipo kwa muda pia
Unanchangia bando kwanUnashughuli gani kutwa upo mitandaoni kwa ID tofauti
Hilo bando la Wi- Fi ya coca cola?Unanchangia bando kwan
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndege anaogopa kupanda Kingereza hajui kuongea kweli huyu tuliingizwa chaka
Ama kweli mnamchukia kwa chuki nzito.Ndege anaogopa kupanda Kingereza hajui kuongea kweli huyu tuliingizwa chaka
Aise hata akitoka bafuni mtasema hajatakata!.Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu.
Leo wakati naelekea Mpwapwa tumekwamishwa kwa zaidi ya saa moja kwenye kituo cha mafuta jirani na kituo kikuu cha mabasi Morogoro, kwa kweli nashauri wahusika wabuni njia mbadala ya kumsafirisha rais wangu.
Ndege inakula sana mafuta bora gariKabisa mkuu atumie tu ndege kubana matumizi