Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
ninao uhakikaAcheni story za kutengeneza,mna uhakika?Kwahiyo akiugua na matibabu yakiwa ni ya nje ya nchi atapanda basi!
ninao uhakikaAcheni story za kutengeneza,mna uhakika?Kwahiyo akiugua na matibabu yakiwa ni ya nje ya nchi atapanda basi!
Hio helikopta imenifurahisha sana kama vile inasimamaNi haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Labda Mungu tofauti na yule tumuaminiye!Wizi mtupu!
Kubana matumizi na siasa safi usitegemee kuviona ndani ya mfumo huu na katiba hii yenye mapungufu lukuki. But time forever frozen still, Mungu yupo nasi yatapita tu.
Matumizi bora ya rasilimali watu na Vyombo husikaHahahahaaaa mkuu unaona wivu nini au umetumwa na mabeberu kukwamisha maendeleo
Huyo ndo jiwe mzee Wa kubana matumizi