Rais wa wanyonge anaogopa matajiri wa Arusha wasije wakamSaanane.Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
sijawahi ona mtu akilindwa namna hiiNi haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaaa mkuu unaona wivu nini au umetumwa na mabeberu kukwamisha maendeleo
Huyo ndo jiwe mzee Wa kubana matumizi
Kodi za raiaOyooo hebu muache Rais atumie ,wewe unajua pesa inatoka wapi?
Hiyo tu?Kama pesa anapata kupitia kodi tu,jiulize badhi ya pesa mfana matumizi ya kununulia ndege ile ya mwanzo alitoa pesa wapi wakati hata ktk budget ya mwakahusika haipo.Kwahiyo yeye ndie anajua pesa anaichomoa wapi hebu muacheni bana.Kodi za raia
Mimi niliyaona mwz na mara sina la kusema kabisa .Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Rasilimali za taifa.Hiyo tu?
ww nawe wivu na kijicho vitakuua,huyo ni mkuu wa nchi,hapo utakuta kuna mabalozi nao wanamisafara yao humo humo ndani ya huo msafara wa rais,kuna wakurugenzi wa mashirika ya umma humohumo,mawaziri nao wamo na visub-convoys humohumo,kuhusu helicopter kama ingewezekana hata na vifaru vingepelekwa kama tu wanakitengo wangeshauri kuwa kwa kufanya hvyo sehem ile itakuwa secured na atatoka salamaNi haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Wapo mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, mabalozi na makatibu wakuu na manaibu.Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu