Loser!let them (coca) f*** youHilo bando la Wi- Fi ya coca cola?
We muache tuUstarabu haununuliwi dukani unachokitafuta utakipata
Dingi Bandiduukisoma comment za watu unapata picha kwamba watoto wana njaa na baba kasema hotoi hela wala msosi,wamevurugwaa,shikamoo magu
Muulize una kula kwake?.Unanchangia bando kwan
Ungejivuta nyumbani park upige vitu....Na Mimi pia yamenikuta hayo oil com kihonda Nimekaa zaidi ya saa moja Kimsubr mtukufu apite nimekereka sana
Bado yuko kwenye kampeniWananchi wengi walishamchoka na hizo style zake za misafara ya Magari. Ni kero tupu. Utadhani anakimbiza Mwenge.
Usafiri wa CHORA ndio ukoje ?au ulitaka kuandika chopa au chura?Siku zote najiuliza kwa nini viongozi wakitaifa wasisafiri kwa chora? Maana tunaharibiana muda bila sababu.
"Chopa" ndio mpango mzima. Watatembelea hata vijiji vya mbali na barabara tena kwa muda mfupi bila kukwaza mtu yeyote.Siku zote najiuliza kwa nini viongozi wakitaifa wasisafiri kwa chora? Maana tunaharibiana muda bila sababu.
Majibu ya bavicha hayo baada ya kuishiwa hoja.pole sana dada yanguLoser!let them (coca) f*** you
hawezi kupanda ndege kwa mujib wa kitabibu..........Anaviogopa vile vipangaboi, sijui alivinunua vya nini..!!
Acheni story za kutengeneza,mna uhakika?Kwahiyo akiugua na matibabu yakiwa ni ya nje ya nchi atapanda basi!hawezi kupanda ndege kwa mujib wa kitabibu..........