Ww uwe umetumwa au umejituma au Bahat mbaya ,,hatutaingia kweny huu mtego ,,kwan hujui ni vizur Rais kuwa na ulinz mzur na usio na mashakaaaa??Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]
*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???
*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???
*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???
*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???