Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

Kwa kiongozi mpendwa kabisa wa wanyonge inakuwaje anatumia ulinzi wa aina hiyo yote?
Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
 
Ukiuliza utaambiwa yuko kwenye vita ya kiuchumi.!
 
Mods naomba sana sana muweke jukwaa jipya la kutolea hasira kwa watu wanaokera kwa kuandika uzushi na upumbavu. Yaani ninahasira pu...तकप्ከፈሀተወበደኘለጰከتيخثعبتيوحوظرسن.. ращнптуаилጀፈተቀሀከከነ . sana .....aaaah kero sana
 
Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu

Yes why isiwe haki?
Unajua taarifa za usalama kwa siku husika zikoje?

Unajua Kuna Rais mwingine na ujumbe wake wako hapa so ulitaka ujumbe wote wapande basi Moja?
 
jamani kuweni na Utu , hata ungekuwa wewe umebakisha miaka 2 kabla ya kupigwa chini usinge injoi ?
 
Wanyonge wakinyongwa live
Hapo kwenye hio video, Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]

*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???

*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???

*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???

*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???

Ruhusa kuni elimisha au kunitoa kasoro wakuu (hata kunitolea povu pia ruhusa),[emoji53]
 
Viongozi wa kiafrica wote ufanana,wako kimaslai yao

Gharama halisi ni mafuta+posho. Hayo magari hayakununuliwa kwa ajili za ziara pekee
 
Si walikua marais watutu kwenye gari moja hiyo Benz. Nazani ulinzi ni sahihi kabisa kama ni kweli walisafiri pamoja
Hata siku moja hawawezi kupanda gari kwa sababu za kiusalama.
 
Wizi mtupu!
Kubana matumizi na siasa safi usitegemee kuviona ndani ya mfumo huu na katiba hii yenye mapungufu lukuki. But time forever frozen still, Mungu yupo nasi yatapita tu.
God leftus thus watu wamebomolewa nyumba zao kiuonevu,fukuzwa Kazi,tekwa,mambo yamekwama uchumi umekufa, laana ni nyingi kuliko BARAKA
 
Mods naomba sana sana muweke jukwaa jipya la kutolea hasira kwa watu wanaokera kwa kuandika uzushi na upumbavu. Yaani ninahasira pu...तकप्ከፈሀተወበደኘለጰከتيخثعبتيوحوظرسن.. ращнптуаилጀፈተቀሀከከነ . sana .....aaaah kero sana
Hasira za nini? Una ujauzito?
 
Ukiwa unajua watu wanakuchukia.. lazma uende kw mganga kujikinga!!
Upuuuz mtupu watu wamegeuka kuwa miungu wakat Mungu wa Mbingun n mmoja
 
Back
Top Bottom