Huyu ni kiongozi wa Nchi
vumilieni tu hata ikiwa siku nzima Usalama wake kwanza
Safari hizi zikipangwa kwa umakini zinaweza kupunguza hii kero. Kuwa kiongozi wa nchi haina maana ujiachie tu barabarani. Nilifikiri tupo kwenye kauli yetu mbiu ya HAPA KAZI TU.Mkuu wa nchi anaoengea na wananchi wake. Kama wewe unaharaka tafuta njia ya mchepuko. By the way Rais huwa hapishi, bali yeye ndiye anapishwa.
Acheni kutetea ujinga!Mkuu wa nchi anaoengea na wananchi wake. Kama wewe unaharaka tafuta njia ya mchepuko. By the way Rais huwa hapishi, bali yeye ndiye anapishwa.
Raisi wa wanyonge muache atafute kura kwa wanyonge paka sasa bado hajajaaminiHii ziara yako mtukufu JPM, imekuwa kero kubwa sana kwa wasafiri wanaotoka dar kuelekea mikoa inayopitia dodoma.
Umekuwa ukisimama barabarani na kuongea na wananchi huku ukiziba barabara.
Tunaomba unaposimama kuwe na utaratibu wa kupisha barabarani ili tunaosafiri tuendelee na safari zetu za kujenga taifa.
Kwakweli mnao safiri muwe watulivu mtafika tu kwa mda wenu mtukufu anafanya yakeHii ziara yako mtukufu JPM, imekuwa kero kubwa sana kwa wasafiri wanaotoka dar kuelekea mikoa inayopitia dodoma.
Umekuwa ukisimama barabarani na kuongea na wananchi huku ukiziba barabara.
Tunaomba unaposimama kuwe na utaratibu wa kupisha barabarani ili tunaosafiri tuendelee na safari zetu za kujenga taifa.
Safari hizi zikipangwa kwa umakini zinaweza kupunguza hii kero. Kuwa kiongozi wa nchi haina maana ujiachie tu barabarani. Nilifikiri tupo kwenye kauli yetu mbiu ya HAPA KAZI TU.
Mbona kule Marekani rais anapishana tu na watu wakiendelea na safari zao barabarani?Safari hizi zikipangwa kwa umakini zinaweza kupunguza hii kero. Kuwa kiongozi wa nchi haina maana ujiachie tu barabarani. Nilifikiri tupo kwenye kauli yetu mbiu ya HAPA KAZI TU.
Kwani haikupangwa kwa makini?
Kodi zetuOyooo hebu muache Rais atumie ,wewe unajua pesa inatoka wapi?
Pesa hajitengenezi yenyewe au hajazaliwa nayoHiyo tu?Kama pesa anapata kupitia kodi tu,jiulize badhi ya pesa mfana matumizi ya kununulia ndege ile ya mwanzo alitoa pesa wapi wakati hata ktk budget ya mwakahusika haipo.Kwahiyo yeye ndie anajua pesa anaichomoa wapi hebu muacheni bana.
Tena kweli, magari ya makatibu wakuu na wakuu wa mikoa yanatumia maji sio mafutaWapo mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, mabalozi na makatibu wakuu na manaibu.
utaendelea kudanganya wajinga wenzako.
Pumba tupuhuu ugawaji wa fedha ovyo mitaani sio jambo zuri lakini inatubidi tuvumilie tu.Rais wetu anashusha hadhi ya pesa bila kujua,Anawafedheesha watanzania bila kujua,anachezea fedha za umma bila kujua,anatuonesha kua sio muhimu watu kulipa kodi pale wanapogain hivyo kushusha ari ya kulipa kodi as you Earn bila kujua.Tubaki kuvumilia na tuombe Mungu tusipate tena kiongozi wa aina hii huko mbeleni.Fedha ni nembo na respectable commodity haipaswi kutolewa tolewa tu na kiongozi wa juu kabisa angalua wangekua ni wasaniii au wahuni wa mtaani tungesema ni matunuzi.Ingekuwa busara Rais awe na bahasha kuliko kuhesabu fedha hadharani na kutoa hadharani tena akiwa juu ya gari.siku akiwa kwenye helicopter anaweza kuzirusha masikini wanyang'anyane chini huku.Haipendezi kuwafedheesha watanzania kiasi hiki.
Yaani wewe ulichoandika sjui umefikiria au roho mbaya yako ndo imekufanya uandike hayahuu ugawaji wa fedha ovyo mitaani sio jambo zuri lakini inatubidi tuvumilie tu.Rais wetu anashusha hadhi ya pesa bila kujua,Anawafedheesha watanzania bila kujua,anachezea fedha za umma bila kujua,anatuonesha kua sio muhimu watu kulipa kodi pale wanapogain hivyo kushusha ari ya kulipa kodi as you Earn bila kujua.Tubaki kuvumilia na tuombe Mungu tusipate tena kiongozi wa aina hii huko mbeleni.Fedha ni nembo na respectable commodity haipaswi kutolewa tolewa tu na kiongozi wa juu kabisa angalua wangekua ni wasaniii au wahuni wa mtaani tungesema ni matunuzi.Ingekuwa busara Rais awe na bahasha kuliko kuhesabu fedha hadharani na kutoa hadharani tena akiwa juu ya gari.siku akiwa kwenye helicopter anaweza kuzirusha masikini wanyang'anyane chini huku.Haipendezi kuwafedheesha watanzania kiasi hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah bora wali tembele kuliko walimwengu rais huyu hatembei mmesahau utawala wa jk hata waziri wa kilimo msafara kama anaenda kuposa jaman kua na heshima na raisi wanguNdege anaogopa kupanda Kingereza hajui kuongea kweli huyu tuliingizwa chaka