Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

Fanyeni kazi iliyowaleta, mnachunguza chunguza papuchi za wake zetu zinawahusu nini?
 
Nina uhakika wewe uliyetoa mada hii sio sehemu ya wahudumu wa afya sababu wahudumu wa afya hatuwezi ongea swala kama hili kwenye mitandao.
 
Kufatilia maisha ya watu tu, we fany kazi yako basi msitu muachie ni wake sio wako
 
Mchicha, kikikiki
 
Ndiyo maana wanawake wengi wanataka kujifungua kwa operation siku hizi.kumbe nyie madaktari mnawachungulia tupu zao kufanya tathmin ya kihivyo na kuwachamba.Hiyo ni kazi yenu.vumilieni na mnayokutana nayo huko.
 
Hivi kumbe kila mjamzito ana mume . Hii habari itakuwa mpya sana hapa kitaani kwetu 🤣🤣🤣
 
Ndiyo maana wanawake wengi wanataka kujifungua kwa operation siku hizi.kumbe nyie madaktari mnawachungulia tupu zao kufanya tathmin ya kihivyo na kuwachamba.Hiyo ni kazi yenu.vumilieni na mnayokutana nayo huko.
Wanapohudhuria clinic wanawafundisha nini Inamaana wanasahau kuwambia kuhusu usafi wa aina hiyo
 
Aisee
 
Kama haja kubwa iko kwenye rectum lazima itatoka during second stage of labor as the fetal presenting part passes through the birth canal.
Kusema kwamba mama anayejisaidia haja kubwa wakati wa kujifungua ati alikuwa anaingiliwa kinyume na maumbile ni IMANI POTOFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…