Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Inategemea,ujauzito kaubeba bila maafikiano,halafu anyolewe,huku aliyebambikwa,ama aliousababisha ni nje ya makubaliano,yafaa watoa huduma mjue chanzo cha hali hizo,ulizeni mtoto wangapi,Je ndoa ipo haipo,je baba na mama walikuwa wameandaa mazingira yakupata mtoto kwa ujauzito husika,je mpango wa wanandoa ulikuwa kupata watoto wangapi na katika kipindi cha muda gani?Hivyo msiwalaumu tu jueni kuwa ipo shida mahali na pia mkiweza mtoe ushauri ili hali hiyo msiendelee kukutana nayo,na sii ushauri tuu bali na elimu stahiki pia.Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua.
Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na vuzi kwenye papuchi moja.
Wababa tuwanyoe wake zetu hata kama wao hawataki walazimusheni .yaani papuchi inakuwa chafu Hadi inatia kinyaa. Mjamzito hawezi akaiona papuchi yote .