Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

Si kweli mkuu, umetumia lugha ya layman kuhalalisha kisichokuwepo.

Acha kupotosha. Kujamba au kutoa haja kubwa wakati wa kujifungua hakuna uhusiano na ulichokiandika vinginevyo huelewi ulichoandika.

By the way wewe ulizaliwa na pengine mama yako mzazi alitoa hewa na haja kubwa wakati wa kukuzaa wewe.Je, Ina maana aliingiliwa kinyume na maumbile?? Fikiria mara tatu!!

Tuwaheshimu sana wakina mama wanaoingia leba kujifungua.

Lengo langu si kukutukana au kukuvunjia heshima ila nikukumbusha uwe na heshima na adabu kwa mama zetu
👍
 
Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua.

Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na vuzi kwenye papuchi moja.

Wababa tuwanyoe wake zetu hata kama wao hawataki walazimusheni .yaani papuchi inakuwa chafu Hadi inatia kinyaa. Mjamzito hawezi akaiona papuchi yote .
Zingatia maadili ya kazi yako.
 
Achana na habari ya mavuzi, wewe fanya kazi yako.
 
Back
Top Bottom