Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Hii ni ishara ya ukosefu wa mabadiliko kwa watoa huduma ya afya. Kama kuna changamoto yoyote nazani sehemu sahihi ya kuwasaidia wajawazito na wenza wao ni kwenye kliniki na sio hapa. Vinginevyo wizara ya afya vitengo vya uzazi vipeleke hii elimu kunakohusika. Ila haijakaa poa kwa kada ya afya. Mtoa huduma ya afya ni msiri wagonjwa.