Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

Sidhani Kama mavumbi ni uchafu, pia hayakui sana Kama nywele, binafsi since 99 sijawahi yatoa na yapo Normal tu mbona. Hizo ni pubic hair Kuna nyama laini mno so hizo hair ni ulinzi tosha. Shida binadamu anatamani ajiumbe upya mbali na Mungu alivyo muumba.
Binadamu kazi yake ni ku modify
 
Si kweli mkuu, umetumia lugha ya layman kuhalalisha kisichokuwepo.

Acha kupotosha. Kujamba au kutoa haja kubwa wakati wa kujifungua hakuna uhusiano na ulichokiandika vinginevyo huelewi ulichoandika.

By the way wewe ulizaliwa na pengine mama yako mzazi alitoa hewa na haja kubwa wakati wa kukuzaa wewe.Je, Ina maana aliingiliwa kinyume na maumbile?? Fikiria mara tatu!!

Tuwaheshimu sana wakina mama wanaoingia leba kujifungua.

Lengo langu si kukutukana au kukuvunjia heshima ila nikukumbusha uwe na heshima na adabu kwa mama zetu
mkuu inabidi utoe uzi kueleze hili janga la kuwasema vbaya kina mama ambao wanatoa haja wkt wa kujifungua..hili jambo inabidi watu wafahamu kuwa halihusiani kabisa na hayo mambo ya yas, hata wasiotoa yas wanatoa haja tatizo story za vijiweni zinapotosha ukweli halisi..sisi tunaojua haya mambo tunabaki kuwahurumia tu hawa wamama mana wanadhalilishwa sana hata na manesi wa juzi juzi tu wasiojua ukweli wa haya mambo
 
Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua.

Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na vuzi kwenye papuchi moja.

Wababa tuwanyoe wake zetu hata kama wao hawataki walazimusheni .yaani papuchi inakuwa chafu Hadi inatia kinyaa. Mjamzito hawezi akaiona papuchi yote .
Kwani mavuzi yanazuia mtoto kutoka?

Mbona mnakula chakula nq midevu na masharubu na hakuna madhara?
 
Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua.

Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na vuzi kwenye papuchi moja.

Wababa tuwanyoe wake zetu hata kama wao hawataki walazimusheni .yaani papuchi inakuwa chafu Hadi inatia kinyaa. Mjamzito hawezi akaiona papuchi yote .
Kwani mara zote huwaga wananyolewa au wanajinyoa wenyewe
 
Bora umewasema, unakaaje na mke mjamzito na humsafishi, humnyoi sehemu zake!!
 
Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua.

Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na vuzi kwenye papuchi moja.

Wababa tuwanyoe wake zetu hata kama wao hawataki walazimusheni .yaani papuchi inakuwa chafu Hadi inatia kinyaa. Mjamzito hawezi akaiona papuchi yote .
Kweli sana unakuta vuzi la hatari
 
Back
Top Bottom