KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi Great Thinkers.

NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.

MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126

Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo tatu. Chakusha ngaza walileta nguzo Mbili baada ya kufwatilia sana, na wakazitelekeza hapo na waya , Kisha wakatokomea tangu Mwezi October. Hadi naamua kukuandikia Waziri, na Tanesco Mkoa na Chanika, ni kwamba , nilifika TANESCO Chanika, wakanifukuza walinzi na wakasema sistahili kuingia ofisini kwani hakuna Huduma.

Hadi leo sijapata umeme, na hawataki kuniletea Mita.

Nyumba yangu ipo Chanika kwa Masantula Mtaa wa Yongwe...

Risiti inaonyesha malipo halali Niliyoilipa TANESCO nikisubiria Huduma.

Je, ni kweli TANESCO wameamua kuniibia pesa za Nguzo moja, na Kukimbia bila kunipa Huduma?

Naomba Watanzania, mnisambazie hii Risiti hadi Imfikie Waziri na wahusika wanajulikana kwani ni watumishi waliofanya uhuni huu..
 
Attachments

  • IMG-20250224-WA0006.jpg
    IMG-20250224-WA0006.jpg
    203.3 KB · Views: 2
  • IMG-20250224-WA0007.jpg
    IMG-20250224-WA0007.jpg
    186.4 KB · Views: 2
  • IMG-20250224-WA0004(1).jpg
    IMG-20250224-WA0004(1).jpg
    91.9 KB · Views: 2
Hi Great Thinkers.

NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.

MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126

Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo tatu. Chakusha ngaza walileta nguzo Mbili baada ya kufwatilia sana, na wakazitelekeza hapo na waya , Kisha wakatokomea tangu Mwezi October. Hadi naamua kukuandikia Waziri, na Tanesco Mkoa na Chanika, ni kwamba , nilifika TANESCO Chanika, wakanifukuza walinzi na wakasema sistahili kuingia ofisini kwani hakuna Huduma.

Hadi leo sijapata umeme, na hawataki kuniletea Mita.

Nyumba yangu ipo Chanika kwa Masantula Mtaa wa Yongwe...

Risiti inaonyesha malipo halali Niliyoilipa TANESCO nikisubiria Huduma.

Je, ni kweli TANESCO wameamua kuniibia pesa za Nguzo moja, na Kukimbia bila kunipa Huduma?

Naomba Watanzania, mnisambazie hii Risiti hadi Imfikie Waziri na wahusika wanajulikana kwani ni watumishi waliofanya uhuni huu..
Sasa bwashee mbona wiring bado na hata lile lichuma la kupokea umeme hujaweka.
Sasa kwa kuwa umetushitaki kwa waziri, ni hivi mwanangu, mwambie huyo waziri aje akufungie.
 
Hi Great Thinkers.

NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.

MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126

Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo tatu. Chakusha ngaza walileta nguzo Mbili baada ya kufwatilia sana, na wakazitelekeza hapo na waya , Kisha wakatokomea tangu Mwezi October. Hadi naamua kukuandikia Waziri, na Tanesco Mkoa na Chanika, ni kwamba , nilifika TANESCO Chanika, wakanifukuza walinzi na wakasema sistahili kuingia ofisini kwani hakuna Huduma.

Hadi leo sijapata umeme, na hawataki kuniletea Mita.

Nyumba yangu ipo Chanika kwa Masantula Mtaa wa Yongwe...

Risiti inaonyesha malipo halali Niliyoilipa TANESCO nikisubiria Huduma.

Je, ni kweli TANESCO wameamua kuniibia pesa za Nguzo moja, na Kukimbia bila kunipa Huduma?

Naomba Watanzania, mnisambazie hii Risiti hadi Imfikie Waziri na wahusika wanajulikana kwani ni watumishi waliofanya uhuni huu..
Ulitumia ule mfumo wao wa Online wa Nikonect ulipokua unaomba umeme? Kama ulitumia ule mfumo, hua kukuwekea umeme ni chap, sababu unaweza track progress online
 
Pole sana! Jitahid kufuatilia ndugu inawezekana Meneja alisafiri, au baadhi mitambo ilikuwa bandarini
 
Wakulipe na fidia ya gharama ulizotumia kupata mwanga kwa kipindi walicho kucheleweshea kukuingizia umeme.
 
Hi Great Thinkers.

NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.

MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126

Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo tatu. Chakusha ngaza walileta nguzo Mbili baada ya kufwatilia sana, na wakazitelekeza hapo na waya , Kisha wakatokomea tangu Mwezi October. Hadi naamua kukuandikia Waziri, na Tanesco Mkoa na Chanika, ni kwamba , nilifika TANESCO Chanika, wakanifukuza walinzi na wakasema sistahili kuingia ofisini kwani hakuna Huduma.

Hadi leo sijapata umeme, na hawataki kuniletea Mita.

Nyumba yangu ipo Chanika kwa Masantula Mtaa wa Yongwe...

Risiti inaonyesha malipo halali Niliyoilipa TANESCO nikisubiria Huduma.

Je, ni kweli TANESCO wameamua kuniibia pesa za Nguzo moja, na Kukimbia bila kunipa Huduma?

Naomba Watanzania, mnisambazie hii Risiti hadi Imfikie Waziri na wahusika wanajulikana kwani ni watumishi waliofanya uhuni huu..
NA NDO CHANGAMOTO YETU WATANZANIA. Tunataka matatizo yetu yatatuliwe kwa kuoneana huruma! Hii dunia haina huruma. Kila mtu awajibike na kuwajibishwa kwa nafasi yake.
 
Back
Top Bottom