Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

Wakati niko shuleni tulipanga geto moja na mwanangu tukawa tuna-share. Nyumba ilikua iko freshi japo ilikua ipo katika mazingira ya kiuswazi.

Kulikua na wapangaji wengine ambao asilimia kubwa walikua ni wanawake.

Kiukweli wale mademu walikua wazuri walionekana kutokea familia zile zakishua sana. Changamoto kubwa tu ambayo inanifanya nisiukumbuke hata uzuri wao ni pale walipoweka ngazi za chooni kua kijiwe chao cha stori

Kile kitendo kilinifanya nione kodi yangu kama naibiwa vile maana ilifikia wakati nilikua sifurahii kuishi maisha kwa kujibana kiasi kile.

Nikawa naenda chooni kwa timing yani mchana hunioni kwenda chooni ila ikifika midnight pale saa 8 usingizi umechanganya nikiwa nauhakika kua kila mtu kalala hapo mkushi ndio naibuka nanyata mdogo mdogo kuelekea eneo la penalt box

Nikiwa naendelea ku-uploads files kabla sija delete browser history katika hari ya taharuki nikastukizwa mlango umegongwa sauti ya kike inasema "mbona mlango mgumu hivi" kwa wakati ule na giza lile hakuwaza kua kutakua na mtu atayeweza kwenda chooni muda ule, hakujua niko ndani na nimeupiga komeo ya ndani kwa emergency kama hizi

Nami nikawa nimekula buyu kwasababu akijua tu kua ni mimi itakua msala kesho sitamuangalia hata usoni. Basi zile purukushani zake kuhangaika na mlango nikaona anadalili za kuwaalika wenzake wamsaidie.

Nikasema bora nusu shari kuliko shari kamili ikanibidi nijikoholeshe nikijua atasepa. Nikasikia "hii si sauti ya Scars jamani?"

Nikawa nimeishatolewa kwenye mchezo concentration zangu zote zikawa juu ya hii aibu ambayo iko mbele yangu. Ikanibidi ni kohoe tena nikasikia vishindo vya miguu vikitoka pale mlangoni nikajisemea bora kasepa na kesho nikimuona namlia buyu na akiniuliza ntabisha kua sio mimi

Baada ya dakika kadhaa natoka sasa nakuta amesimama mlangoni halafu taa inanipiga usoni...moyoni nikasema potelea mbali kama inakua wacha iwe tu
We jamaa bhna.........unatuambiaje tuliokuwa tunanguo rasmi(sare) za kwenda kukat gogo yahn ukiona nimevaa hzo sare mkulungwa jua naenda kunya mavi yahn na mchana kweupe kabisa mbele ya wamama na kuwatania ngoja tukajaze choo tutetee kodi zetu.
 
Aaah mzee hii ishu mi ilinichukua muda sana kuizoea, wale wajinga waliniendesha sana kuliko hata tumbo lenyewe
 
Habari wanaJf,

Ama kweli ule usemi wa ukichoka kero za nyumba za kupanga jenga yako bado inaniumiza mpka leo kwa vitabia flani ivi vya kiswahili huku kwetu changanyikeni ambazo sizielewi.

Kwanza hapa naamini kuna watakaosoma hii article ni wapangaji wenzetu wenye tabia hizi.

(1)Utakuta wadada mnakaa kwenye mlango wa choo, na viti kabisa bila ata aibu mtu ukingia lazima uwapige vikumbo,na shughuli yako ndani unafanya kwa kujibana..ukizingatia hakuna bomba la maji chooni ambalo ungeweza kuzugia sauti kubwa kwa kulifungulia maji kwa kasi
Badilikeni jamani.

(2)Tabia ya kupiga story chini ya dirisha la mtu pia inanikera sana,mnatunyima faragha ndugu zetu wenye tabia hizo.

(3)Kuna watu ikifika zamu yao ya umeme wanarudi usiku mnene kimya kimya baada ya wapangaji wote kulala.

(4)Na wale wahuni mnaofungulia mziki kama viziwi mida mibovu tunaomba mtusamehe.

Wapo watakao ona kama hii ni misamiati hapo juu kwakuwa wanajifanya wakishua wamezaliwa masaki,wengine wamekulia bush na wengine mayahaya wanajifanya walishajenga..huku 70% hapa tumepanga[emoji28][emoji849]

Share kero zako mbili zilizowahi kukuta kwenye nyumba za kupanga..
Kuna siku ilikua zamu yangu kulipa umeme.na nilitarajia mshahara utatoka siku hiyo.

Had giza linaingia mshahara bado, na sina hata 100. Na ni jumamosi. So km mshahara haujatoka basi ni hadi j3.

Sikurud kabisa home.. nkarud j4. Nlkua naogopa.
 
Wakati niko shuleni tulipanga geto moja na mwanangu tukawa tuna-share. Nyumba ilikua iko freshi japo ilikua ipo katika mazingira ya kiuswazi.

Kulikua na wapangaji wengine ambao asilimia kubwa walikua ni wanawake.

Kiukweli wale mademu walikua wazuri walionekana kutokea familia zile zakishua sana. Changamoto kubwa tu ambayo inanifanya nisiukumbuke hata uzuri wao ni pale walipoweka ngazi za chooni kua kijiwe chao cha stori

Kile kitendo kilinifanya nione kodi yangu kama naibiwa vile maana ilifikia wakati nilikua sifurahii kuishi maisha kwa kujibana kiasi kile.

Nikawa naenda chooni kwa timing yani mchana hunioni kwenda chooni ila ikifika midnight pale saa 8 usingizi umechanganya nikiwa nauhakika kua kila mtu kalala hapo mkushi ndio naibuka nanyata mdogo mdogo kuelekea eneo la penalt box

Nikiwa naendelea ku-uploads files kabla sija delete browser history katika hari ya taharuki nikastukizwa mlango umegongwa sauti ya kike inasema "mbona mlango mgumu hivi" kwa wakati ule na giza lile hakuwaza kua kutakua na mtu atayeweza kwenda chooni muda ule, hakujua niko ndani na nimeupiga komeo ya ndani kwa emergency kama hizi

Nami nikawa nimekula buyu kwasababu akijua tu kua ni mimi itakua msala kesho sitamuangalia hata usoni. Basi zile purukushani zake kuhangaika na mlango nikaona anadalili za kuwaalika wenzake wamsaidie.

Nikasema bora nusu shari kuliko shari kamili ikanibidi nijikoholeshe nikijua atasepa. Nikasikia "hii si sauti ya Scars jamani?"

Nikawa nimeishatolewa kwenye mchezo concentration zangu zote zikawa juu ya hii aibu ambayo iko mbele yangu. Ikanibidi ni kohoe tena nikasikia vishindo vya miguu vikitoka pale mlangoni nikajisemea bora kasepa na kesho nikimuona namlia buyu na akiniuliza ntabisha kua sio mimi

Baada ya dakika kadhaa natoka sasa nakuta amesimama mlangoni halafu taa inanipiga usoni...moyoni nikasema potelea mbali kama inakua wacha iwe tu
Akhakha dah we jamaa mbona unayaonea aibu maumbile yako
 
Choo cha kulenga siyo poa ukidumbukiza lazima uruke hapa nikajiongeza niwe naenda kwa jiran mida ya usiku baada ya kama wiki mbili jamaa akashitukia kama kesho kutwa yake naenda nakuta kufuli daaa, nikaingia ndani nikapata akili nikachukua tissue nazitandika pemben ya tundu namalizia mzigo pembeni baada ya hapo nasindikiza na kiatu. jiran akabaki na kufuli lake.
Pole ndugu,km ni tumbo la kuhara je? Mambo haya yanatia hasira na kusababisha mtu uwaze kujenga by all means
 
Kuna jamaa Kila akisex na Dem wake lazima tuzibe masikio maana demu NI full makelele mpaka mtaa wa 7 watajuwa Kama wanafanya mapenzi, mbaya zaidi wakimaliza wanafungulia sbufa mpaka bati linataka kung'oka, sometime huwa namhurumia jamaa mwenye watoto ambaye yupo jirani na chumba Cha huyo mpangaji
Ndo raha ya sex mkuu hiyo
 
Bado sijajua mpaka leo kuna uhusiano gani kati ya wanawake na mazingira ya chooni na bado naendelea kutafiti!,
Hii kitu tunaoishi kwenye nyumba za kupanga tunai-experience!

Yaani unakuta pamoja na nyumba husika kuwa na eneo kubwa ambalo mnaweza mkakaa,mkapumzika na kupiga story lakini cha ajabu na cha kusikitisha unakuta eneo lote hilo wanaacha wanaenda kujazana eneo lilipo Toilet(choo),na unakuta wamekaa kabisa wako comfotable!

Unajua wakuu toilets ni mahali pa faragha na ndo maana huwa hatuwezi kukojoa au kunya hadharani maana si ustaarabu,sasa ili uwe mstaarabu ni lazima uende chooni ambako kuna faragha na kila kitu utamaliza huko!

Sasa wengine kidogo tuna aibu,siwezi kwenda chooni wakati mijitu mizima imejazana kwenye mlango au mbele ya choo utadhani mi nyumbu!,Kiukweli hii tabia huwa inakera sana hasa tuliopitia huko!

Namshukuru Mungu japo bado sijawa na banda langu lakini ninaishi nyumba ambayo ni self- contained!

😛OLENI SANA MNAOPITIA HII CHANGAMOTO
 
Choo cha kulenga siyo poa ukidumbukiza lazima uruke hapa nikajiongeza niwe naenda kwa jiran mida ya usiku baada ya kama wiki mbili jamaa akashitukia kama kesho kutwa yake naenda nakuta kufuli daaa, nikaingia ndani nikapata akili nikachukua tissue nazitandika pemben ya tundu namalizia mzigo pembeni baada ya hapo nasindikiza na kiatu. jiran akabaki na kufuli lake.
Khaaa waja mna mambo si ungekunya tu kwene kopo afu unaenda kumwaga
 
Kuna mpangaji akiingia 6by6 na mkewe, ile mbuguma inavyo piga sound hata upandishe sauti redio haisaidi!
Hadi anatutamanisha! Yule mbuguma ni fundi kwa mashairi!
Kibaya anapiga mzigo jioni na asubuhi. Adhana ikianza ndio kama wanamuamsha....Daah!
 
Basi mwenyewe unajikuta kila siku kupiga nyeto au na wewe una mke
 
We jamaa bhna.........unatuambiaje tuliokuwa tunanguo rasmi(sare) za kwenda kukat gogo yahn ukiona nimevaa hzo sare mkulungwa jua naenda kunya mavi yahn na mchana kweupe kabisa mbele ya wamama na kuwatania ngoja tukajaze choo tutetee kodi zetu.
Hahahaaaa
 
Choo cha kulenga siyo poa ukidumbukiza lazima uruke hapa nikajiongeza niwe naenda kwa jiran mida ya usiku baada ya kama wiki mbili jamaa akashitukia kama kesho kutwa yake naenda nakuta kufuli daaa, nikaingia ndani nikapata akili nikachukua tissue nazitandika pemben ya tundu namalizia mzigo pembeni baada ya hapo nasindikiza na kiatu. jiran akabaki na kufuli lake.
Aisee
 
Hapo pa kufungulia "sabufa" ksa sauti daaah[emoji119]
 
Kuna mpangaji akiingia 6by6 na mkewe, ile mbuguma inavyo piga sound hata upandishe sauti redio haisaidi!
Hadi anatutamanisha! Yule mbuguma ni fundi kwa mashairi!
Kibaya anapiga mzigo jioni na asubuhi. Adhana ikianza ndio kama wanamuamsha....Daah!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom