Amazon Woman
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 796
- 1,187
No4. Hiyoo. Nakaa na those women(Lesbians) yaani wakifika tuu mziki sauti hiyo hatusikilizani
Mungu nisaidie nijenge yangu.
Mungu nisaidie nijenge yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan shida nn mkuu? Kwamba unaogopa kuonwa unatoka kunya au?Wakati niko shuleni tulipanga geto moja na mwanangu tukawa tuna-share. Nyumba ilikua iko freshi japo ilikua ipo katika mazingira ya kiuswazi.
Kulikua na wapangaji wengine ambao asilimia kubwa walikua ni wanawake.
Kiukweli wale mademu walikua wazuri walionekana kutokea familia zile zakishua sana. Changamoto kubwa tu ambayo inanifanya nisiukumbuke hata uzuri wao ni pale walipoweka ngazi za chooni kua kijiwe chao cha stori
Kile kitendo kilinifanya nione kodi yangu kama naibiwa vile maana ilifikia wakati nilikua sifurahii kuishi maisha kwa kujibana kiasi kile.
Nikawa naenda chooni kwa timing yani mchana hunioni kwenda chooni ila ikifika midnight pale saa 8 usingizi umechanganya nikiwa nauhakika kua kila mtu kalala hapo mkushi ndio naibuka nanyata mdogo mdogo kuelekea eneo la penalt box
Nikiwa naendelea ku-uploads files kabla sija delete browser history katika hari ya taharuki nikastukizwa mlango umegongwa sauti ya kike inasema "mbona mlango mgumu hivi" kwa wakati ule na giza lile hakuwaza kua kutakua na mtu atayeweza kwenda chooni muda ule, hakujua niko ndani na nimeupiga komeo ya ndani kwa emergency kama hizi
Nami nikawa nimekula buyu kwasababu akijua tu kua ni mimi itakua msala kesho sitamuangalia hata usoni. Basi zile purukushani zake kuhangaika na mlango nikaona anadalili za kuwaalika wenzake wamsaidie.
Nikasema bora nusu shari kuliko shari kamili ikanibidi nijikoholeshe nikijua atasepa. Nikasikia "hii si sauti ya Scars jamani?"
Nikawa nimeishatolewa kwenye mchezo concentration zangu zote zikawa juu ya hii aibu ambayo iko mbele yangu. Ikanibidi ni kohoe tena nikasikia vishindo vya miguu vikitoka pale mlangoni nikajisemea bora kasepa na kesho nikimuona namlia buyu na akiniuliza ntabisha kua sio mimi
Baada ya dakika kadhaa natoka sasa nakuta amesimama mlangoni halafu taa inanipiga usoni...moyoni nikasema potelea mbali kama inakua wacha iwe tu
we jamaa usipo kuwa shabiki wa mikia nipigwe ban maana una mawazo ya kuchekesha kama hajiChoo cha kulenga siyo poa ukidumbukiza lazima uruke hapa nikajiongeza niwe naenda kwa jiran mida ya usiku baada ya kama wiki mbili jamaa akashitukia kama kesho kutwa yake naenda nakuta kufuli daaa, nikaingia ndani nikapata akili nikachukua tissue nazitandika pemben ya tundu namalizia mzigo pembeni baada ya hapo nasindikiza na kiatu. jiran akabaki na kufuli lake.
Duuuuu uko vizur kuotea hata pweza anasubirwe jamaa usipo kuwa shabiki wa mikia nipigwe ban maana una mawazo ya kuchekesha kama haji
Mkuu hukusikia 2015 kuna mgombea alisema akiwa rais hakutakuwa na nyumba za matembe tena?Huu uzi si wa siasa na si kila mtu lazima awe mwanasiasa/akutane na habari za kisiasa hata pasipohusu siasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Choo cha kulenga siyo poa ukidumbukiza lazima uruke hapa nikajiongeza niwe naenda kwa jiran mida ya usiku baada ya kama wiki mbili jamaa akashitukia kama kesho kutwa yake naenda nakuta kufuli daaa, nikaingia ndani nikapata akili nikachukua tissue nazitandika pemben ya tundu namalizia mzigo pembeni baada ya hapo nasindikiza na kiatu. jiran akabaki na kufuli lake.
[emoji3][emoji3][emoji3]aiseWakati niko shuleni tulipanga geto moja na mwanangu tukawa tuna-share. Nyumba ilikua iko freshi japo ilikua ipo katika mazingira ya kiuswazi.
Kulikua na wapangaji wengine ambao asilimia kubwa walikua ni wanawake.
Kiukweli wale mademu walikua wazuri walionekana kutokea familia zile zakishua sana. Changamoto kubwa tu ambayo inanifanya nisiukumbuke hata uzuri wao ni pale walipoweka ngazi za chooni kua kijiwe chao cha stori
Kile kitendo kilinifanya nione kodi yangu kama naibiwa vile maana ilifikia wakati nilikua sifurahii kuishi maisha kwa kujibana kiasi kile.
Nikawa naenda chooni kwa timing yani mchana hunioni kwenda chooni ila ikifika midnight pale saa 8 usingizi umechanganya nikiwa nauhakika kua kila mtu kalala hapo mkushi ndio naibuka nanyata mdogo mdogo kuelekea eneo la penalt box
Nikiwa naendelea ku-uploads files kabla sija delete browser history katika hari ya taharuki nikastukizwa mlango umegongwa sauti ya kike inasema "mbona mlango mgumu hivi" kwa wakati ule na giza lile hakuwaza kua kutakua na mtu atayeweza kwenda chooni muda ule, hakujua niko ndani na nimeupiga komeo ya ndani kwa emergency kama hizi
Nami nikawa nimekula buyu kwasababu akijua tu kua ni mimi itakua msala kesho sitamuangalia hata usoni. Basi zile purukushani zake kuhangaika na mlango nikaona anadalili za kuwaalika wenzake wamsaidie.
Nikasema bora nusu shari kuliko shari kamili ikanibidi nijikoholeshe nikijua atasepa. Nikasikia "hii si sauti ya Scars jamani?"
Nikawa nimeishatolewa kwenye mchezo concentration zangu zote zikawa juu ya hii aibu ambayo iko mbele yangu. Ikanibidi ni kohoe tena nikasikia vishindo vya miguu vikitoka pale mlangoni nikajisemea bora kasepa na kesho nikimuona namlia buyu na akiniuliza ntabisha kua sio mimi
Baada ya dakika kadhaa natoka sasa nakuta amesimama mlangoni halafu taa inanipiga usoni...moyoni nikasema potelea mbali kama inakua wacha iwe tu
Zingine zina raha yake, wakati naanza mishe mishe za kazi nikapata room sehemu, room ya uani pembeni hukooo. Mwenye nyumba alikuwa na watoto wa kike karibia 8 halafu wote visuu. Ila malezi, hasa ya mama yao, yaliwaharibu,basi wewe ukimtaka mmojawapo wewe mletee mother vijizawadi. Kazi zangu ilikuwa field sana, sasa nikirudi mara mkungu wa Ndizi, viazi vitamu au mviringo, mara gunia la mkaa.... Aisee yaani ilikuwa navuta tuuu leo huyu, kesho yule. Kimbembe ulete demu from outside utaipata.Sijawahi kupanga, Mungu nisaidie nisiangukie huko kwenye nyumba za kupanga
hapana hiyo siwez hata iwe usiku mzito kias ganKhaaa waja mna mambo si ungekunya tu kwene kopo afu unaenda kumwaga
MKuu hyo ilishanikutaga. Nimecheka balaa hadi mkewangu kaniuliza nacheka nnKuna siku ilikua zamu yangu kulipa umeme.na nilitarajia mshahara utatoka siku hiyo.
Had giza linaingia mshahara bado, na sina hata 100. Na ni jumamosi. So km mshahara haujatoka basi ni hadi j3.
Sikurud kabisa home.. nkarud j4. Nlkua naogopa.
Anyway kijumba changu[emoji16][emoji16][emoji16]Kwenye "banda" lenu??!!--- wewe umekuwa kuku??[emoji1787]
Anyway kijumba changu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu vunga kama vp[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hicho "kijumba" kipoje?? [emoji542][emoji536]
MwenyewePUMBAVU!
Mkuu, una maisha magumu sana. Yaani ushindwe kumtazama mtu usoni kisa alikukuta chooni unakata gogo au mimi ndio sijaelewa hapaWakati niko shuleni tulipanga geto moja na mwanangu tukawa tuna-share. Nyumba ilikua iko freshi japo ilikua ipo katika mazingira ya kiuswazi.
Kulikua na wapangaji wengine ambao asilimia kubwa walikua ni wanawake.
Kiukweli wale mademu walikua wazuri walionekana kutokea familia zile zakishua sana. Changamoto kubwa tu ambayo inanifanya nisiukumbuke hata uzuri wao ni pale walipoweka ngazi za chooni kua kijiwe chao cha stori
Kile kitendo kilinifanya nione kodi yangu kama naibiwa vile maana ilifikia wakati nilikua sifurahii kuishi maisha kwa kujibana kiasi kile.
Nikawa naenda chooni kwa timing yani mchana hunioni kwenda chooni ila ikifika midnight pale saa 8 usingizi umechanganya nikiwa nauhakika kua kila mtu kalala hapo mkushi ndio naibuka nanyata mdogo mdogo kuelekea eneo la penalt box
Nikiwa naendelea ku-uploads files kabla sija delete browser history katika hari ya taharuki nikastukizwa mlango umegongwa sauti ya kike inasema "mbona mlango mgumu hivi" kwa wakati ule na giza lile hakuwaza kua kutakua na mtu atayeweza kwenda chooni muda ule, hakujua niko ndani na nimeupiga komeo ya ndani kwa emergency kama hizi
Nami nikawa nimekula buyu kwasababu akijua tu kua ni mimi itakua msala kesho sitamuangalia hata usoni. Basi zile purukushani zake kuhangaika na mlango nikaona anadalili za kuwaalika wenzake wamsaidie.
Nikasema bora nusu shari kuliko shari kamili ikanibidi nijikoholeshe nikijua atasepa. Nikasikia "hii si sauti ya Scars jamani?"
Nikawa nimeishatolewa kwenye mchezo concentration zangu zote zikawa juu ya hii aibu ambayo iko mbele yangu. Ikanibidi ni kohoe tena nikasikia vishindo vya miguu vikitoka pale mlangoni nikajisemea bora kasepa na kesho nikimuona namlia buyu na akiniuliza ntabisha kua sio mimi
Baada ya dakika kadhaa natoka sasa nakuta amesimama mlangoni halafu taa inanipiga usoni...moyoni nikasema potelea mbali kama inakua wacha iwe tu
HahahahahahahahahaHabari wanaJf,
Ama kweli ule usemi wa ukichoka kero za nyumba za kupanga jenga yako bado inaniumiza mpka leo kwa vitabia flani ivi vya kiswahili huku kwetu changanyikeni ambazo sizielewi.
Kwanza hapa naamini kuna watakaosoma hii article ni wapangaji wenzetu wenye tabia hizi.
(1)Utakuta wadada mnakaa kwenye mlango wa choo, na viti kabisa bila ata aibu mtu ukingia lazima uwapige vikumbo,na shughuli yako ndani unafanya kwa kujibana..ukizingatia hakuna bomba la maji chooni ambalo ungeweza kuzugia sauti kubwa kwa kulifungulia maji kwa kasi
Badilikeni jamani.
(2)Tabia ya kupiga story chini ya dirisha la mtu pia inanikera sana,mnatunyima faragha ndugu zetu wenye tabia hizo.
(3)Kuna watu ikifika zamu yao ya umeme wanarudi usiku mnene kimya kimya baada ya wapangaji wote kulala.
(4)Na wale wahuni mnaofungulia mziki kama viziwi mida mibovu tunaomba mtusamehe.
Wapo watakao ona kama hii ni misamiati hapo juu kwakuwa wanajifanya wakishua wamezaliwa masaki,wengine wamekulia bush na wengine mayahaya wanajifanya walishajenga..huku 70% hapa tumepanga[emoji28][emoji849]
Share kero zako mbili zilizowahi kukuta kwenye nyumba za kupanga..