Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

Sisi tuliopanga nyumba nzima hatuna hizo kero kabisa😂😂😂😂
 
Kwan shida nn mkuu? Kwamba unaogopa kuonwa unatoka kunya au?
 
we jamaa usipo kuwa shabiki wa mikia nipigwe ban maana una mawazo ya kuchekesha kama haji
 
nyumba za kupanga zenye shida ni za uswazi bt ukipanga ushuani huwezi yakuta haya, nilikuaga napigwa chabo enzi hizo alafu maneno wanaeneza mtaa mzima, nilichofanya ilibidi nijibane tu nikapange ushuani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]aise
 
Sijawahi kupanga, Mungu nisaidie nisiangukie huko kwenye nyumba za kupanga
Zingine zina raha yake, wakati naanza mishe mishe za kazi nikapata room sehemu, room ya uani pembeni hukooo. Mwenye nyumba alikuwa na watoto wa kike karibia 8 halafu wote visuu. Ila malezi, hasa ya mama yao, yaliwaharibu,basi wewe ukimtaka mmojawapo wewe mletee mother vijizawadi. Kazi zangu ilikuwa field sana, sasa nikirudi mara mkungu wa Ndizi, viazi vitamu au mviringo, mara gunia la mkaa.... Aisee yaani ilikuwa navuta tuuu leo huyu, kesho yule. Kimbembe ulete demu from outside utaipata.
 
Changamoto ya nyumba za kupanga ni common kama kuna issue ya sharing hasa kwenye maji umeme na usafi lazima vivuruge wajitokeze
 
Kuna siku ilikua zamu yangu kulipa umeme.na nilitarajia mshahara utatoka siku hiyo.

Had giza linaingia mshahara bado, na sina hata 100. Na ni jumamosi. So km mshahara haujatoka basi ni hadi j3.

Sikurud kabisa home.. nkarud j4. Nlkua naogopa.
MKuu hyo ilishanikutaga. Nimecheka balaa hadi mkewangu kaniuliza nacheka nn
 
Mkuu, una maisha magumu sana. Yaani ushindwe kumtazama mtu usoni kisa alikukuta chooni unakata gogo au mimi ndio sijaelewa hapa
 
Hahahahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…