Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

Basi mwenyewe unajikuta kila siku kupiga nyeto au na wewe una mke
Sikiliza wimbo wake niliurekodi sijui ni lugha gani!
Shairi linavyo toka kinywani kwa raha zake Timilfu [emoji7] "Tagile yose, tagile tagile yose...na mahum*** gose na mahu*** ...msipa wa mbud*** wasaa...[emoji8] kidogo nipige chabo!
Namuonyeshaga uso wa huruma lakini ananipotezea [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Pole sana mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dahh mwanangu umenichekesha sanaaa, uyo dem nae kavu sanaa dah
 
Kuna mpangaji akiingia 6by6 na mkewe, ile mbuguma inavyo piga sound hata upandishe sauti redio haisaidi!
Hadi anatutamanisha! Yule mbuguma ni fundi kwa mashairi!
Kibaya anapiga mzigo jioni na asubuhi. Adhana ikianza ndio kama wanamuamsha....Daah!
hahah, unajua mbuguma ni ng'ombe ilochoka choka kwa tuliowah pita pita minada ya ng'ome uko
 
hahah, unajua mbuguma ni ng'ombe ilochoka choka kwa tuliowah pita pita minada ya ng'ome uko
Kila jamii ina tafsiri yake!
Kwetu ni mwanamke aliye zaa mara.2 anatafuta mtt wa.3
Hivyo ni mzoefu anakuelekeza hata mkao ili ufaidi[emoji38][emoji38]
Hata ukitaka kumuoa mahari yake ni kubwa[emoji38]
 
Jambo kama linavyojieleza ebu leo tuzungumze changamoto za nyumba za kupanga tunazokutana nazo na jinsi ya kupambana nazo mimi katika maisha ya kupanga changamoto kubwa aiseee umeme duh umeme ni shida kwakweli labda ukute kila mtu na Mita yake ya umeme bila hivyo ugomvi kila siku ebu nawe njoo na yako
 
Huu Uzi nadhani umo tayar humu,
Vibweka nyumba za kupanga, aliuleta mshana
 
upangaji wa fremu za biashara,mwenye fremu akiona unauza sana anafanya figisu akutoe kisha naye afanye biashara hiyo hiyo,mwishowe anachemsha anaipangisha tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…